Duh, si ungeniambia nikupe solar king ya mmarekani yenye kuweza kuwaka mpaka masaa 36. Pia ina port mbili za kucharge simu na tablet
Warrant ni 5 years, ila iko juu; sh 75,000 isiyoweza kicharge simu ni sh 25,000 na ina up to 30 hrs za kuwaka.
A small system yenye taa 4, port 2 za simu na moja ya radio inauzwa 280,000/=