Taa ya Engine kwenye gari

Taa ya Engine kwenye gari

Mgunda Jr

Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
31
Reaction score
45
Habari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger.

Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka.

Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa inawaka ila kulger inaweza kupita hata week haijawaka,ila siku usiyotarajia unashanga tu imewaka.

Nini inaweza kuwa shida kwa magari yote tafadhari.

Nawasilisha.
 
Ingekuwa gari za ulaya ningehisi mafuta. Kajaribu fanya diagnosis kwa wataalamu
 
Hilo sio tatizo la kutatiwa Kwa njia ya kubahatisha nenda garage ya uhakika wafanye diagnosis kwenye engine
 
Fanya diagnosis mkuu, huwezi kupata jibu la kamili, labda tupoge ramli tu!!
 
Yapeleke garage kafanye diagnosis mkuu unataka tukufariji wakati yanaonesha Kuna tatizo kwenye mifumo
 
Habari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger.

Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka.

Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa inawaka ila kulger inaweza kupita hata week haijawaka,ila siku usiyotarajia unashanga tu imewaka.

Nini inaweza kuwa shida kwa magari yote tafadhari.

Nawasilisha.
Sababu ziko nyingi zinazo changia check engine kuwaka kama oxygen sensor, mass air flow, ignition coil, hasa kwa haya magari ya umeme jaribu kufanya diagnosis siyo garama sana utapata jibu la uwakika zaid na kutengenez kitu sahihi
 
I had same issue kwenye Alphard shida ilikuwa oxygen sensor. Fanya diagnosis mkuu.
 
Comments zote sijaona aliyeuliza hizo gari zote zinahudumiwa Na fundi mmoja!?garage Moja??au hata coolant unanunua Duka Moja?? Coz hizi Ni gari tofauti sana Kluger Na runx ,why ziwe Na tatizo Moja!?? Anzia huko kabla hujafika kwenye gari
 
Mgunda Jr pole sana , tuliwahi kuelezea hayo mambo kwenye thread hii
Unaweza kujisomea

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kupitia nambari za simu
+255797113153

Tutakusaidia muongozo
 
Back
Top Bottom