BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,247
Habari wakuu.
Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn toka wametengeneza siku ileile nipo njiani narudi home taa ya engine ikawa inawaka.
Kwasababu muda ulikuwa umeenda nikasema nitawapigia simu.
Siku ya 2 nikampigia simu fundi akaniambia inabidi niipeleke wakachomeke kwenye machine wajue tatizo ni nini.
Lakini cha ajabu akaniambia niandae elfu 50 ya kipimo cha machine wakati tatizo wamesahabisha wao.
Mimi sijaipeleka mpaka leo maana naona huyu fundi alifanya kusudi ili nirudi tena ale hela yangu tena.
Msaada wakuu kama kuna ushauri niangalie kitu gani kabla sijapeleka kwa fundi mwingine.