Taa nyekundu

Taa nyekundu

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
666
Ukiona umekaa na mpenz wako kwa miezi sita hajakutambulisha kwa ndugu zake au hata kwa rafiki yake mmoja,jua hapo haupendwi
..
Sepaaaaaaa kimya kimya....
 
Mimi demu wangu ni mtoto wa mama mwenye nyumba...

Mama yake anajua kabisa kuwa namgonga binti yake... Wadogo zake wote wanajua....
Majiran wote pia...
isipokua dingi yake ndio hajui...

Pamoja na yote hayo hajawahi kujitambulisha hata kwa mtu mmoja...

Muda bado..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Utatambulisha Wangapi, binafsi yangu kumtambulisha mtu ni mpaka tuwe tunataka kuelekea next stage period,
 
Utatambulisha Wangapi, binafsi yangu kumtambulisha mtu ni mpaka tuwe tunataka kuelekea next stage period,
Kwa kweli. Mimi pia sitaki mambo ya kutambulishana mpaka kama ndoa itahusika. Na mwanaume atatambulishwa kwa ndugu zangu pale atakapoleta barua nyumbani.
 
Binafsi nishawatambulisha kama kumi hivi lakini sijapanga kumuoa hata mmoja
 
Kuna siku niliona wapenzi wanatambulishana kama marafiki. Niliishia kucheka tu.

Ningekuwa mim nampa kibuti hapohapo kwenye utambulisho
 
Mimi demu wangu ni mtoto wa mama mwenye nyumba...

Mama yake anajua kabisa kuwa namgonga binti yake... Wadogo zake wote wanajua....
Majiran wote pia...
isipokua dingi yake ndio hajui...

Pamoja na yote hayo hajawahi kujitambulisha hata kwa mtu mmoja...

Muda bado..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Mkuu naona umejitengenezea fursa ya kukwepa kodi ya pango. Hadi raha
 
Back
Top Bottom