Taa Nyekundu Mashariki ya kati Israel vs Iran

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Vyombo vya usalama vya kimataifa na dunia nzima macho yao yote yapo Mashariki ya kati.

Baada ya dunia kushuhudia unyama na ujasusi wakutisha ktk mashariki ya kati sasa mimba imefika miezi tisa na tunakaribia kushuhudia mtoto kuzaliwa kwa uchungu mkubwa.

Israel inaenda kuichapa Iran jambo hili linawaumiza sana mataifa makubwa na hasa ikizingatiwa kuwa vita hii haitokuwa vita yakawaida.

Israel wana imani moja kabla hujawawahi wanakuwahi wewe. Hii ni moja ya imani ya waisrael na wame tekeleza mission zao bila kushindwa wala kukata tamaa.

Vita hii ni vita kubwa ambayo haikuwahi kutokea ktk dunia ya sasa.

Israel wataenda kutekeleza mission ngumu kuwahi kutokea kwa taifa lao huku wakiwa wamesha fanya full analysis yakile kinaweza kuwatomea watu wao na dunia.

Vita hii inategemea kutokea wakati wowote usio julikana.

Israel wakisaidiwa na jeshi lisilo onekana la Marekan. Wata
 
Kiukweli Israel anawasiwasi na Iran ila Iran hana wasiwasi na mtu anafanya mambo yake, lengo la Israel Iran isiendelee na kuidhoofisha kiuchumi, kisiasa na kijamij lakini Iran lengo yeye aendelee na kama Israel itaendelea zaidi ilivyoendelea sasa wala hawana shida.

Hapa unakuja kumuoma Israel hataki mataifa yenye mrengo tofauti nayeye yapige hatua lakini huu upuuzi haukubaliki ata kidogo kwangu mimi nasimama na Iran.
 
Kwakuwa Iran ndio nchi inayoongoza kuikopesha Tanzania na inatudai mkwanja mwingi

Baada ya vita Iran atataka pesa zake kujenga uchumi wake

So tuombee hi vita isipiganwe na isitokee na ikitokea tuwe tayar tumelipa deni lao kabisa

Israel bila marekani n sawa kumwambia B12 asiajiliwe na majizo
 
Israel sijui wajionaje yani, wale jamaa kuna siku watakuja kusema hii dunia yote ni mali yao, yani wanajikuta wao ndo wao yani.
 
Ugomvi wa mashariki ya kati ni wa kifamilia

Tatizo wanajaharibu kuusuluhisha kisiasa
Wale wote ni ndugu wanaogombea urithi na maeneo yao

Siku wakiamua kukaa chini ndio watapata suluhisho Ile sio kupitia wanasiasa
Well Noted wajinga ndo hawajuwi...waeende Istanbul wajifunze
 
Hebu toa analysis yakueleweka sio unaandika mawazo na MTIZAMO wako tu.

Zingatia 1. Who 2 What 3. Where 4. When. 5. Why na How.

Eti imekaribia na dunia itashuhudia.
 
Kiukweli Israel anawasiwasi na Iran ila Iran hana wasiwasi na mtu anafanya mambo yake, lengo la Israel Iran isiendelee na kuidhoofisha kiuchumi, kisiasa na kijamij lakini Iran lengo yeye aendelee na kama Israel itaendelea zaidi ilivyoendelea sasa wala hawana shida...
Israel kawaida yake. Katika miaka 300 iliyopita Iran haijawahi kuishambulia/kuivamia nchi yoyote ile, tofauti na Israel ktik miaka 70+ hivi tangu iundwe imewahi kuzishambulia nchi kadha zikiwemo Misri, Jordan, Lebanon, Syria etc.
 
Kuna jambo la ziada na ndani linaloweza kupelekea kupigana vinginevyo hakuna kitu hapo.
 
Nakuambia hivi... maisha yako yote mpaka unakufa, hutoona Israel akimpiga Iran. Hana ubavu huo hata waungane na nani sijui.
Interested, ukweli mchungu nikwamba Israel hawez na hatojaribu ishambulia Iran hata kwa msaada wa marekani, Middle East kwasasa Iran inaushawishi zaid ya Israel. Angalia Syria hapo Bashar al Assad kashinda vita dhidi ya magaidi yaliyoungwa mkono na nchi takriban 32 wakiongozwa na USA huku Syria akisaidiwa na Urusi, Iran pamoja na Hezbollah. Kimkakati bila USA hakuna Israel kwenye ramani ya middle east.
 
Back
Top Bottom