Safi sana kaka...
Hongera kwa kujikita ktk ujasiriamali...!
Kama upo Dar, jaribu kuleta hayo mashati, huku hostels za UDSM, utakula vichwa si kitoto, coz saivi ndo habari ya mujini...!!
Hilo shirt la mwisho kabisa nimelielewa sana, so i'll soon check you...
ALL THE BEST
Hizi zinamfaaga Mrisho Mpoto tu, mie neh!