We hukufanya kwani?Matokeo ya written bado hayajatoka tayari maandalizi ya oral interview yameshaanza, safi sana watu mna assurance 😛
Nimekumbuka nilipo hitimu form four nikaenda tuition kuanza masomo ya advance (physics na chemistry), hapo matokeo bado hayajatoka.Matokeo ya written bado hayajatoka tayari maandalizi ya oral interview yameshaanza, safi sana watu mna assurance 😛
Ulitoboa?Nimekumbuka nilipo hitimu form four nikaenda tuition kuanza masomo ya advance (physics na chemistry), hapo matokeo bado hayajatoka.
Sasa siku moja nikakutana na mkuu wangu wa O level kwenye hyo shule nilipokuwa naenda kusoma alinishangaa sana ....
Alinihidi kunisomesha advance endapo nitatoboa O level na gharama za tuition pia alinambia atalipa..., Mwenyezi mungu ampe malipo mema yule Madame.
Unajua kwann alishangaa?Nimekumbuka nilipo hitimu form four nikaenda tuition kuanza masomo ya advance (physics na chemistry), hapo matokeo bado hayajatoka.
Sasa siku moja nikakutana na mkuu wangu wa O level kwenye hyo shule nilipokuwa naenda kusoma alinishangaa sana ....
Alinihidi kunisomesha advance endapo nitatoboa O level na gharama za tuition pia alinambia atalipa..., Mwenyezi mungu ampe malipo mema yule Madame.
Sasa aliefanya mtihani ndo hujua kama alifanya au alisindikiza wengineUnajua kwann alishangaa?
Aligundua unajiamini ndo maana akaona akutie moyo kwa kuhaidi kulusapoti
Silku zote usijiumbie. Kufeli
Lengo namba moja la champion ni. kuwa mshindi
Sasa mtu kafanya written
Tayari anajiumbia amefeli,kwanini na matokeo bado?
Weka marumaini ya next stage ikishindikana basi ila sio kujiumbia kufeli
Itajulikana ijumaa tarehe 25 🎃Sasa aliefanya mtihani ndo hujua kama alifanya au alisindikiza wengine
Una uhakika wa kutoboa mkuu?Bado siku 4
YkUuuT.h
Sipati picha😂😂 wengine mpka tunayaota matokeoItajulikana ijumaa tarehe 25 🎃
😀😀Sipati picha😂😂 wengine mpka tunayaota matokeo
Leo yanatoka NBAA yanakwenda TRA. Kama sijakosea
KeshoLeo yanatoka NBAA yanakwenda TRA. Kama sijakosea
Kesho tarehe 23 sio leo kesho kutwa TRA wanayaweka tayari tarehe 25 wanayatoa muyaone kwa hio km hujavuka 50 sijui 85 subiri written interview nyingine ukajaribu tenaLeo yanatoka NBAA yanakwenda TRA. Kama sijakosea
Km hujavuka 50 sijui 85 hesabu umewekwa pembeni kwanza waachie waliovuka hio pass markKesho