T.P. Mazembe 4, Esperance S.T 0 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

T.P. Mazembe 4, Esperance S.T 0

Discussion in 'Sports' started by Jafar, Oct 31, 2010.

 1. J

  Jafar JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  T. P. Mzembe inaongoza kwa goli 4 huku Esperance ya Tunisia 0 katika mechi ya kwanza ya fainali ya klabu bingwa Africa. Dakika ni ya 75 na ball possession so far 65% T. P. Mazembe na 35% Esperance of Tunisia.

  T. P.Mazembe are the deffending Champions.

  Nimefurahi hawa waarabu kugaragazwa.
   
 2. g

  gutierez JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  walishinda 5-0 jana TP Mazembe ndani ya stade Kenya hapo Lubumbashi,DRC
   
 3. g

  gutierez JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  1-1 juzi kwahiyo TP Mazembe wamechukua mara ya 2 mfululizo CAF champions league(4 jumla)hongereni wazee wa kutumika na makuta wa Lubumbashi
   
 4. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mazembe wanacheza soka safi sana na pia wana vijana wengi wa Kongo wanaoichezea. Niliangalia zile mechi za fainali na kwa kweli kiwango cha soka cha Mazembe kilikuwa juu sana kushinda cha Esperance kiasi cha kwamba inabidi mtu ujiulize Esperance waliwatoaje Al Ahly pamoja na goli la mkono.

  Ushindi huu wa Mazembe umerudisha changamoto kidogo katika soka la Afrika maana siku hizi hii michuano ya CAF imekuwa ni kama vile ni michuano ya nchi za Afrika Kaskazini na kidogo Magharibi.

  Natamani na sisi Bongo tupate Mazembe yetu, atokee Moise Katumbi Chapwe kitu ambacho akina Mo Dewji na Bakhressa wamejitahidi kujaribu, awekeze fedha maradufu katika soka. Ingependeza pia kama Mazembe yetu isiwe based Dar es Salaam, Tanga wala Morogoro. Ingetokea mitaa ya Mwanza au Shinyanga kwenye timu zenye genuine local fans ingependeza zaidi.

  Dawa ya kukuza mpira wa Tanzania ni kupata mshindani kama huyu ambaye ataziua Simba na Yanga
   
Loading...