Hyo simu haitakuja shika network huku bongo. Labda ukatafte motherboard ya International model ndio itashika networkHiyo ndo faili jipya ambalo ni line 1 na haishiki simu.
Ku clarify mkuu haitashika 3g Sababu kibongo bongo tunatumia band 2100 na Tmobile ni band 1700, ila 2g na 4g zinashika kama kawaida Sababu 4g wametoa huu ukiritimba wa kuhodhi band moja. Hio 1700 dunia nzima anatumia T mobile mwenyewe.
Sema hawa jamaa Wana Roho mbaya kweli, siku hizi wameanza kamchezo ka kugawanyisha band ya kudownload na ku upload ili kufanya maisha yazidi kuwa magumu.
Sijui alichofanya huyo jamaa ila Kikawaida hizi simu refurbished huwa zinaguswa sana, inawezekana hio rom walioeka ndio ilikuwa wamei modify kukuwezesha wewe kupata network ila baada ya kutoa na kuweka yake ambayo ni ya Tmobile simu imerudi network lock.
Cha kuanzia nacho mkuu ni jaribu kuflash lakini na njia ya File 3 badala ya moja, ama atleast File la modem liwemo, ukiflash modem sometime inaweza ku solve mambo yanayohusiana na network.
Thread Niliyo pata yenye modem ni hii tu
[Basebands/Modems] SM-G960/G965 F/N/U/U1/W/0 [24.03.2022] & Android 10 / PIE StockRom
[Basebands/Modems] SM-G960/G965 F/N/U/U1/W/0 [24.03.2022] & Android 10 / PIE StockRom READ CAREFULLY!!! You flash these files at your own responsibility! I am not responsible for any damage that might be caused by flashing (bricked device, lost...forum.xda-developers.com
Tena ni za aosp ina maana zitahitaji custom rom,
Ama kama unaona mwenyewe ni ngumu tafuta fundi mzuri ambaye Ana box zuri anajejua kuitumia, box zinakuwa na pre made solutions nyingi.
Hiyo ndo faili jipya ambalo ni line 1 na haishiki simu.
Mkuu G960N ni ya Korea na Sio T-mobile, ulijuaje kama ni ya T mobile?
Mkuu G960N ni ya Korea na Sio T-mobile, ulijuaje kama ni ya T mobile?
Kabla hajaeka file haikuwa na Kichina hapo kwenye download mode? Ama huku icheki?Hiyo ni baada ya kuweka file jipya ndo Ina soma hivo . Na Kuna sehemu niliona kwenye simu imeandikwa t mobile afu kichina China sana
Hii ndo ilikuwa file La kwanza maana fundi aliniwrkea nikalipiga picha kwanza. Sasa amelitafuta amelikosa. N.a. atasema kinacholeta tofauti ni hapo pameandkikwa RP SWAEV: B3K:3 S:3. BAADA YA KIUI UPDATE NA KUWEKA FILE MPYA HAPO KWENYE HIYO INALETA RP N.A. HIZO FIGURE ZOTE ZINAKUKA 4 BADALA YA ILIVOKUWA TATU.Kabla hajaeka file haikuwa na Kichina hapo kwenye download mode? Ama huku icheki?
Mkuu hata hapa ni ya Korea, tafuta fundi mwenye box zuri akusaidie.Hii ndo ilikuwa file La kwanza maana fundi aliniwrkea nikalipiga picha kwanza. Sasa amelitafuta amelikosa. N.a. atasema kinacholeta tofauti ni hapo pameandkikwa RP SWAEV: B3K:3 S:3. BAADA YA KIUI UPDATE NA KUWEKA FILE MPYA HAPO KWENYE HIYO INALETA RP N.A. HIZO FIGURE ZOTE ZINAKUKA 4 BADALA YA ILIVOKUWA TATU. View attachment 1776922
Hapo inaonekana vizuriHii ndo ilikuwa file La kwanza maana fundi aliniwrkea nikalipiga picha kwanza. Sasa amelitafuta amelikosa. N.a. atasema kinacholeta tofauti ni hapo pameandkikwa RP SWAEV: B3K:3 S:3. BAADA YA KIUI UPDATE NA KUWEKA FILE MPYA HAPO KWENYE HIYO INALETA RP N.A. HIZO FIGURE ZOTE ZINAKUKA 4 BADALA YA ILIVOKUWA TATU. View attachment 1776922
Mkuu Niko Kigoma Sijui hao mafundi kama huku wanapatikana labda ungenisaidia nn chakufanya nikamuelekeza Fundi alieko hapa alakiganya. Maana anaweza isipokuwa ni kama haya ma file hanaMkuu hata hapa ni ya Korea, tafuta fundi mwenye box zuri akusaidie.
Mkuu mimi ningeanza na kuflash upya kila kitu na liwe ni file lenye rom ya simu, modem na bootloader, vyote vitatu uanze upya kama nilivyokueleza comment yangu ya kwanza.Mkuu Niko Kigoma Sijui hao mafundi kama huku wanapatikana labda ungenisaidia nn chakufanya nikamuelekeza Fundi alieko hapa alakiganya. Maana anaweza isipokuwa ni kama haya ma file hana
S9 saketi 30k?Mzee hapo weka kama 30k-50k kanunue saketi uendelee na maisha maana ukilazimisha sana wa’brick hiyo simu.
NB: saketi ununue sehemu inayoeleweka isije kuwa yamoto.
S9 saketi 30k?