T.H.T watua bongo kutoka kwa OBAMA.,yoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

T.H.T watua bongo kutoka kwa OBAMA.,yoo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Greater thinker, Nov 10, 2011.

 1. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Baada ya miez kadhaa nyuma kupta ambapo wlidondokewa na shavu la kuaalikwa na Mfalme wa R&B nchn marekan..
  Wasanii hao pia kutoka kwny nyumba ya vipaji Tanzania wametua nchini leo saa chache zilizopta waktokea nchin marekan kupga show kwny sherehe ya kumkabdhi tunzo mke wa rais wa zamani nchn humo G.W.BUSH bibie L.BUSH..
  Katkb haflb hyo T.H.T walipata kukutana na viongoz,wanamicho ngul na wasanii mbali mbali kutoka pande mbalimbali za dunia akiwemo pia nguli wa muziki barani Afrika Angelique Kidjo...
  Baadhi ya wasanii hao wa T.H.T waliongukiwa na bahat hyo ni hit maker wa 'Milele daima' barnaba,Jack(huyu anaepga jingle za cloudc fm km tupaa maweee,rediiiooo yaaa watuuuu),ndege mnana linah sanga,na Dogo ditto anaetamba nb kbao chake cha tushukuru kwa yote ...
  Haya ni mafanikio makubwa katka anga ya muzik nchn Tanzania..
  Big up T.H.T
  Big up Ruge Mutahaba...
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,641
  Likes Received: 564
  Trophy Points: 280
  Mmetumwa na Ruge.....mwambie zamu hii kwa Sugu hutoki.
   
 3. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,695
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  nini maana ya ndege mnana??
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  nadhani ni Hummingbird.......sina uhakika...
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hahaha!! Lol halafu wewe.....
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 145
  I wish wangefanya kama King Kikii na kupiga shows za kufa mtu states
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  hi hi.....mwaka unaisha ujue......
  na kuna huyo mwenzio amefuatia kupost hapo...mfikishie ujumbe mwambie mwaka unaisha.....
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Aisee najua najua kabisa this time acha tu...yaani this time usinipimie kabisa......lol
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,617
  Likes Received: 1,469
  Trophy Points: 280
  Hongereni wasanii wa THT.... bigup clouds entertainment , muacheni sugu na wahuni wenzake wa ki diss kila msanii... huku wakitoa album za matusi mtaani loser sikuzote atabaki loser ..
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,350
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  mwenye link ambayo naweza pata audio music ya angelique kidjo anipatie tafadhali
   
 11. K

  Kalila JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wameenda kwenye ishu ya malaria rugay kawapeleka kama chambo tu wmerudi wanaishia kwenye vyumba vya kupanga sinza kama kuna msanii mwenye nyumba hapo mtaje wanahali ngumu rugay yeye anakula gud time masaki huku kawapeleka kama wasanii yatima. Tatizo hawataki tuendelee(tht)
   
 12. K

  Kalila JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani awaruhusu unamjua ruge unamsikia kwanza wamepelekwa kama yatima wenye vipaji ruge ni tapeli sana
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  please edit that to Angelique Kidjo...
   
 14. Greater thinker

  Greater thinker JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ahsanteh!kwa kunkumbusha mkuu..typin error
   
 15. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 829
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  Mkuu heshima mbele!!
  Samahani kama nitakuwa na kukwaza ila nimefuatilia mabandiko yako hapa jamvini,naona uandishi wako unakatisha maneno kama unatuma ujumbe wa simu.
  Naomba jitahidi kuandika vizuri maana wengi tunasoma kujifunza au kupata habari, Pia ukiwa unaandika majina ya watu au mahali jaribu kuandika kwa ufasaha.
  Mwisho naomba kabla ya kupost kitu fanya uchunguzi kidogo maana kuna habari nyingine unaandika ni za uongo.

  Amani iwe nawe.
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,048
  Trophy Points: 280
  Wamekuja kushuhudia Sugu akiapishwa kuwa RAIS wa Mbeya
   
 17. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 5,355
  Likes Received: 4,811
  Trophy Points: 280
  Mkuu, mwandiko wako unasadifu kua wewe si GREAT THINKER, May be GREAT SINKER..! Tumezoea kuona sampaly hizo kule kwenye mtandao wa wanafunzi FB! Hata kama unatumia "mobile" so-kiivo, unaboa sana!
   
Loading...