Pole best!
Ningejua ile tiketi ni ya basi hilo ningeifanya nap-kin dakika ileile!
Itabdi sasa urudi na Ngorika ile ya mchina!
Hawa jamaa wa Kilimanjaro Express kwa kweli siku hizi wanapoteza umakini uliotufanya wengi wetu kuyaamini mabasi yao kwa usafiri wa DAR -ARS...Kwa mfano siku hizi mara zote ukipanda basi la kutoka dar kwenda arusha, mkifika moshi wanaaza kupakia abiria wa Moshi- Arusha..na mbaya zaidi hata barabarani wanasimamisha kupakia abiria kama vile coaster zifanyavyo...mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kusimamisha abiria..hili nafikiri linakuwa dili la driver na konda wake hivyo ofisini au mmiliki anakuwa hana taarifa..kwa hyo mwenye uwezo wa kufikisha malalamiko hayo pls afanye hivyo...
hivi hakuna mwenye contact za mwenye mali?
a a....inawezekana tulipanda bus moja nn,mm nilipanda jmosi kutoka Ars-Dar, huyohuyo dereva alikuwa anaendesha na alikuwa anaongea na simu kila wakati, na tulipofika sijui panaitwa kisangara gari liliharibika,tulikaa almost lisaa lizima,kutoka hapo mwendo ulikuwa mdundo, kwa kweli nilikuwa siwezi kusafiri na kampuni nyingine kwa route hiyo lakini itabidi nihame, kwa anayemfahamu mmiliki wa hayo mabus na namba yake ya simu atupatie ili aweze kusababishwa kuwafundisha madereva wake kuwa na adabu na roho za watu
nijuzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila wakati, watu tulihama makampuni mengine tukiamini wapo makini,lakini sasa wanapoelekea watapoteza wateja, ukizingatia na magari yao siku hizi yameanza kuwa mabovu....tunawashauri wajirekebishe
a a....inawezekana tulipanda bus moja nn,mm nilipanda jmosi kutoka Ars-Dar, huyohuyo dereva alikuwa anaendesha na alikuwa anaongea na simu kila wakati, na tulipofika sijui panaitwa kisangara gari liliharibika,tulikaa almost lisaa lizima,kutoka hapo mwendo ulikuwa mdundo, kwa kweli nilikuwa siwezi kusafiri na kampuni nyingine kwa route hiyo lakini itabidi nihame, kwa anayemfahamu mmiliki wa hayo mabus na namba yake ya simu atupatie ili aweze kusababishwa kuwafundisha madereva wake kuwa na adabu na roho za watu
Hivi mtu akiandika juzi na amepost tarehe 26/4/2011, juzi yake inakuwa haieleweki? Pia akikupa na namba bado unahitaji nini? Mie nadhani unadetail za kutosha saana.JUZI NDIO SIKU GANI?
Mlikuwa mkitoka wapi kwenda wapi?
Ukitaka mambo haya yafanyiwe kazi weka uthibitisho wa taarifa zako!...Mimi nipo hatua 30 toka ofisini kwao, naweza fanya lolote nikipata usahihi wa taarifa hizi!
Vinginevyo KILIMANJARO ni kampuni ya usafirishaji yenye heshima sana kwa route za Dar-Arusha!
Utafiti unaonyesha hata bluetooth si muafaka kwa madereva. Jamani si madereva wa mabasi tu, hebu wote tukome hii tabia ya kuongea na simu wakati tunaendesha magari, inapoteza concentration. Hatuhitaji askari wa usalama wa barabarani kwenye kuvaa mikanda, simu nk. Tukianza kuacha mmoja mmoja na baadae itakuwa desturi. Mie nina kawaida moja, nikikupakia kwenye gari langu ni lazima uvae mkanda haijalishi umekaa kiti gani.kwa nini madereva wasivae bluetooth devices za masikioni zikaunganishwa na simu zao. Mimi binafsi huwa ninaweka hichi ki divice masikoni mwangu wakati nadrive. Hata kama hujaweka route, umeweka namba ya gari na watajua wao gari yenye namba hizi ilikuwa inatoka wp kwenda wp. thank you jf
naunga mkono hoja kaka!kwa nini madereva wasivae bluetooth devices za masikioni zikaunganishwa na simu zao. Mimi binafsi huwa ninaweka hichi ki divice masikoni mwangu wakati nadrive. Hata kama hujaweka route, umeweka namba ya gari na watajua wao gari yenye namba hizi ilikuwa inatoka wp kwenda wp. Thank you jf
Hapo umenena kaka, hii ndo kampuni makini niliyopata kuiona na isiyo nguvu ya soda. Jamaa wako poa, nidhamu ya barabarani ipo juu pamoja na heshima kwa abiria. Safari za uhakika route ya Kaskazini Dar Xpress ndo mpango mzima...
hivi hakuna mwenye contact za mwenye mali?
juzi nimepanda bus tajwa hapo juu, kwa kweli abiria tuliteseka sana, lilikuwa linaendeshwa na dereva anaitwa Salakana,huyu bwana alikuwa anakimbia sana na mbaya zaidi huku anaongea na simu kila wakati, watu tulihama makampuni mengine tukiamini wapo makini,lakini sasa wanapoelekea watapoteza wateja, ukizingatia na magari yao siku hizi yameanza kuwa mabovu....tunawashauri wajirekebishe