System ya UDOM inanijibu 'invalid email address'

Liobite

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
127
Reaction score
37
Wakuu nafanya application ya chuo Udom ila nimeingiza email wananiambia Invalid. Tatizo Nini wakuu au kama kuna mtu kafanya application humu anisaidie suluhu ya tatitzo hili.

Asante
 
Weka nyingine tu mbona udom awanaga usumbufu kbs kiboko SUA
 
Wakuu nafanya application ya chuo Udom ila nimeingiza email wananiambia Invalid. Tatizo Nini wakuu au kama kuna mtu kafanya application humu anisaidie suluhu ya tatitzo hili.

Asante
Mwanzo ilikuwa haipokei pesa kwa bank. Nikalipa kwa tigo pesa mambo yakawa powa. Ila nilisota wiki moja. Mbaya zaidi ukipiga simu wadada wanapokea hawaongei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo ilikuwa haipokei pesa kwa bank. Nikalipa kwa tigo pesa mambo yakawa powa. Ila nilisota wiki moja. Mbaya zaidi ukipiga simu wadada wanapokea hawaongei

Sent using Jamii Forums mobile app
Raha ya UDOM ukipiga simu na akipokea mwanaume utakuuliza, upo kwenye computer muda huu? Ukijibu ndio basi atakueleza kipengele kimoja hadi kingine mpaka tatizo lako litatuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…