System ya TCU mbona haieleweki..msaada wakuu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

System ya TCU mbona haieleweki..msaada wakuu..

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kdany, Aug 24, 2012.

 1. k

  kdany Senior Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  News

  ANNOUNCEMENT TO PROSPECTIVE APPLICANTS WHO WERE NOT SELECTED IN ALL OF THEIR PREFERENCES AND ALLOCATED TO OTHER PROGRAMS


  TCU informs applicants whose names have been published on TCU website that, they were not selected in all of their choices due to various reasons. TCU considered their qualifications and allocate them accordingly in other programs they qualify other than their preferences.

  TCU is hereby inform these applicants that if they are not satisfied with programs they were allocated they are allowed to select other programs of their choice by logging into their profile and enter only one program from a list of slots available on TCU website.
  Please click here to view the list ...

  deadline jumatatu lakini mpaka sasa system ina goma na weekend ndo hii tunaomba msaada kwa ambao mmesha apply.shukrani

   
 2. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kutokana na Tangazo hilo hapo mimi pia ni muhanga, nimechaguliwa coszi ambayo iko ifm, siitaki na nataka kwenda duce, nimejaribu kuomba upya kozi ninayo itaka na yenye nafasi, lakini system inakataa inasema nimesha chaguliwa, msaada jamani nifanyeje, niko mbeya!
   
 3. a

  axel fowly Senior Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia jina lako kwenye hiyo list kama lipo na imekataa kubadili course basi inabidi uwasiliane nao na kama jina lako halipo basi imekula kwako...
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  poa mkuu, ntafanya hivyo
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Hivi watanzania ni kitu gani tunaweza? Unampangiaje mtu chuo/kozi ambayo hajaomba au mbaya zaidi haiendani na masomo yake?
   
 6. k

  kdany Senior Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wakuu wenye msaada kuhusu hili tusaidiane,najua had TCU mko humu.
   
 7. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 520
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mimi nadhani wakati mwingine tuwe waungwana, sasa kama mtu umeomba course halafu ktk hizo courses ulizoomba huja meet vigezo, na TCU kwa kuona wasikuache wakaona kuna maeneo mengine ambayo unaweza kwenda kulingana na sifa zako, sasa hapa kosa liko wapi, kama unaona ulichokichagua sicho ulichopewa fahamu hujafikia vigezo.

  Na pia badala ya kuwa tunalalamika tu humu JF tuwe na tabia ya kuwaona wahusika, kama uko na nafasi nenda ktk ofc zao ukatoe malalamiko yako au upewe msaada nn cha kufanya sasa unalaumu Tcu wakati hata hujawaona na wakakushauri nn cha kufanya, lakini pia nadhani kuna watu huwa hatusomi vizuri maelezo ya awali kabla ya kuanza kuomba vyuo, hatuangalii vizuri guide book na kuona tunafiti wapi, tujaribu kupata taarifa toka kwa wahusika wenyewe.
   
 8. k

  kdany Senior Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hayaja kukuta ww,yakikukuta cdhani kama utaongea hayo,sasa km ni hvyo,nn maana ya kutoa second round halafu nxt tme unawambia watu wngne tena watume kwa 2nd round tena.
   
 9. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  huu ni ubabaishaji mkubwa, yaani wananifanya nikose usingizi. Mtu kasoma CBG, unampangia Bachelor of account, tena hajaomba hiyo. yaaaani xxxxxxxxxxxxxx kabisa
   
 10. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,409
  Likes Received: 776
  Trophy Points: 280
  Nimejitaidi kufuatilia sana selection zilizotolewa na vyuo mbalimbali vya elimu ya juu hapa nchini,inaonesha kua nafasi nyingi kwa aslimia kubwa zimejazwa.

  Cha kushangaza kuna watu walijaza kozi saba ktk vyuo mbalimbali lakin tcu wamediriki kuwachagulia kozi na chuo ambazo hawakujaza na tena wakatangaza kozi zilezile ktk vyuo usika kwamba kuna nafasi ziko wazi watu wanaweza kuomba katika second application na nafasi zimetajwa kubaki kwa kiwango kikubwa sana,nafasi zilizoachwa wazi addmision point wameziweka sawa na kozi ambazo wamewachagulia watu.hapa chini ni mifano ya vyeo na nafasi zilizo wazi

  1.st.joseph (nafasi 410 kwa kozi 7) za agriculture na biashara
  2.st.joseph (nafasi 978 kwa kozi 6) za engineering
  3.st.joseph coll of information and techn nafasi 240 kwa kozi moja
  4.dodoma (nafasi 1900) katika kozi zote
  5.dit (nafasi 184) kwa kozi tano
  6.udsm (nafasi 310) achilia matawi yake
  7.kampala nafasi zaid ya 2000
  8.saut nafasi zaidi ya 2000 na kuna vyuo vikuu vingine vingi

  Cha kujiuliza sasa,kama mwanafunzi amechagua kozi ambayo yeye anaona kua anaweza kupata mkopo kulingana na priority iliyowekwa pamoja na mapenzi yake kwa somo usika ya nini anyimwe nafasi iyo? Na kuchaguliwa kozi nyingine ambayo haina ata mkopo.je kwa nini wasiseme iwapo mwanafunzi akichagua kozi nyingine ilialiochaguliwa itafutwa ata kama hatachaguliwa kwenye second application? Na kwa nini bodi na tcu wasitoe matokeo kwa mfumo wa mwaka jana ili wanafunzi wajue la kufanya kabla ya 27 oct ambayo ni mwisho wa second application?

  Na je ile mfumo wa mwaka jana limepotelea wapi ndani ya mwaka mmoja tu? Je wale ambao majina zao zinaonekana kwenye profile zao kua addmited kwenye chuo fulani alafu majina yao ayapo kwenye chuo usika wafanye nini? CBG anachaguliwa accounting,pcb anachaguliwa bs in computer science kwa kweli tcu mnafanya elimu kua ngumu bila ya sababu muhimu na tangu lini mwanafunzi wa chuo kikuu anachaguliwa kozi ya kusoma ktk karne hii.

  TCU na bodi ya mkopo ebu fungukeni muache kuchezea akili za watu,naomba michango yengu wadau wa elimu.
   
 11. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,865
  Likes Received: 4,708
  Trophy Points: 280
  Vyeo ndio nini kaka?
   
 12. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #12
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ubongo hauna mfupa kijana,bila shaka alitaka kumaanisha "Vyuo".
   
 13. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #13
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni kweli mkuu,naona huu ni mpango maalumu wa HESLB na TCU ktkt kuhakikisha watu wanakosa mkopo.Hizi taasisi ni janga la Taifa kabisa.
   
 14. K

  KALLAGO Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamna m2 ambae anaweza kuomba koz ambayo hajakidh viwango wakati kwenye guided book kunajionyesha wewe
   
 15. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hapo umenena mkuu,mwongozo wa TCU ulibainisha vigezo vya kuchaguliwa ktk kila kozi na sidhana kama mtu anaweza kuwa mbumbumbu wa kuchagua kozi ambayo hakidhi vigezo.Ni lazima TCU wakiri kuwa kuna mapungufu ktk huu mfumo na wakubali kusoma kutoka kwa wenzetu jinsi walivyofanikiwa kuuboresha huu mfumo,huu mfumo ni mzuri na kama utasimamiwa vzr utarahisisha mambo mengi sana.
   
 16. a

  axel fowly Senior Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kwamba watu wengi wameapply course zenye loan priority na zile non priority zikakosa watu na wale waliochaguliwa vyuo ambavyo hawakuomba ni wale wenye div 3 za point za mwisho mwisho na inaonekana walishindwa ushindani wa course walizo chagua kwa hiyo wakaamua kuwafanyia allocation kwenye vyuo vingine ambavyo havina watu....
   
 17. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mimi nina tatizo kama hilo ila cha ajabu zile option za ku-corfirm haziko actve sijui ndi nn hii jamani,ni kama hivi inavyoonekana hapa chini.
   
 18. B

  Bil shankly Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni wababaishaji hawa jamaa! Mi coni 7bu ya wao kuweka eligibility status wakati hata zote ukiwa na vgezo hawakuchaguwi! Bora wangelsema tuwatumie majina yetu na result den watpange km walvotupeleka macourse 2so mpango nayo! Nin malengo ya kutupa nafas ya kuchagua wakt unchaguliwa! Dahx wamebowa zaid ya sana
   
Loading...