Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,965
- 6,737
Ni system ya kipekee ambayo ni rahisi kutumia na inayokuwezesha kujua maendeleo ya Biashara yako.Ina uwezo wa kufanya yafuatayo:
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com Karibu sana.
- Kuhifadhi kumbukumbu za bidhaa zote zilizopo katika biashara yako,ikiwa ni pamoja na idadi yake,bei ya kununulia na bei ya kuuzia
- Kuhiadhi kumbukumbuza wateja wako pamoja na madeni ambayo hayajalipwa
- Kuhifadhi kumbukumbu za mauzo na manunuzi ya bidhaa zako pamoja na mapato na matumizi
- Inakuwezesha kupata taarifa ya mapato na matumizi,taarifa ya ukwasi na taarifa mbalimbali za biashara yako kwa muda wowote
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com Karibu sana.