Ukiziona hizo username na password
mfano:
$username=$_POST["UserName"];
$password=$_POST["Password"];
$con = mysql_connect("localhost","root","");
Hapo inamaanisha Username ni "root" na password ni blank yaani hakuna password. jaribu kuingina na hizo details utakazozipata kwenye file hilo kwenye login page yako.
ikishindikana fanya hivi:
Kwenye hiyo hiyo ACTION FILE angalia ni table gani inayokuwa SELECTED kwaajili ya kuangalia USERS and PASSWORDS halafu ukishaijua hiyo table ya USERS
Ingia kwenye XAMPP > table ya Privileges (Users) angalia users waliopo hapo na unaweza ku Add jina lako na password yako.
angalia hapa: Hapo kwenye rangi nyekundu hiyo ndio jina la TABLE yenye USERS
$sql="SELECT * FROM user where UserName='$username' and Password='$password'";
$result = mysql_query($sql, $link) or exit('$sql failed: '.mysql_error());
$num_rows = mysql_num_rows($result);
if($num_rows==0){
header("Location: error.htm");
}
else
{
header("Location: logged.htm");
exit;
}
mysql_close($link);