Kwa k
Kwa taratibu za hospital zote duniani lazima kuna kitengo cha emergency hapo kazi yao kubwa ni kuokoa uhai kwanza pesa baadae,na inakuwaje hospital inakuwa na system isiyo someka? Ni wazi kuna uhujumu wa ufanisi kazini,kuwe na sheria zinazowabana madakitari wa kitanzania ili waondokane na hii element ya kupenda fedha kuliko kazi yao ya witoKama wanajua system ina changamoto mwanzoni basi wafanye zote mbili kwa pamoja.
System haiwezi ikawa sababu ya kuhatarisha uhai wa mtu