Watanzania bwana ukiwa against anavyoona yeye basi we mbeya, au mjinga au mbulula.
Kila jamii flani ya watu ina jiprotect ndiyo maana yule kijana aliyeua watu US hajaitwa gaidi bali wanadai alikuwa na matatizo ya akili kisa tu ni mwenzao angekuwa mwarabu au black ingekuwa strory nyingine.
Same applies to middle east wakiua wao wataongelea hiyo story in another way.
And if you no nothing about someone's religion you better shut up kuliko kuongea usilolijua.
Ikitokea pastor, au mchungaji akalawati watoto will you say that all christians are like that?
Kwanini maovu ya waarabu yawe judged kuptia dini ya Kislamu na maovu ya wazungu yasiwe judged kupitia ukristo?
Mbona wanajeshi wa kimarekani waliofunga ndoa ya jinsia moja white house hamjayahusisha na ukristo? What if hiyo ingefanyika nchi ya kiarabu najua ungeongea?