Syrian Exhibition Vs Vita Syria

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,840
Reaction score
3,909
1. Wa-Syria wana maonyesho kila kukicha. Sijui wanazalisha hizo bidhaa saa ngapi wakati Syria kinawaka kila siku.

2. Wabongo tunasubiri Teuzi tu na Mechi za Simba na Yanga

Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
 
Attachments

  • download (2).png
    6.5 KB · Views: 15
1. Wa-Syria wana maonyesho kila kukicha. Sijui wanazalisha hizo bidhaa saa ngapi wakati Syria kinawaka kila siku.

2. Wabongo tunasubiri Teuzi tu na Mechi za Simba na Yanga

Amani Tele ila hatuzalishi hata pipi
😀😀😀😀
 
Sisi tunazalisha machawa, mafisadi, majizi nk wa kutosha kwenye kiwanda cha fisiemu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…