Military-political propaganda, yaleyale ya Saddam Hussein kumiliki WMD ili kuhalalisha uvamizi.
I never trust the west when talking about their opponents, not only about Syria or China or Zimbabwe or Russia, I mean any threat against western interests.
Too greed, ati they once included Madiba's name in the terrorists' list. Negative for this clue from the US intelligence source!!!
Perfect and simple, umenena sawasawa.
Tatizo ni kwamba kwa bahati mbaya mabuchwaka wamejaa mpaka jamiiforums, tati atakaye analyse na kukumbuka wakati memory disc zao ziko kaput.
Matayarisho ya uvamizi wa Syria yanakamilika, kwa uongo na mazugozugo yale yaleeee na still mabuchwaka hayaataamka.
1. Fear na terror levels tayari zimeshapandishwa - Boston na Ricin kutumiwa raisi. Hivi sasa waMarekani wameshatekenyeka na wazimu umeshawapanda.
2. North Korea kasimama ngangari na bomu analo
3. Accusation hii dhidi ya Syria haitosimama hadi uvamizi. Double whammy dhidi yake inakamilika.
- Kwanza kuzushiwa.
- Pili kulazimisha kwamba ni lazima aruhusu wachunguzi wa "uzushi huu" na hali ya kuwa inajulikana wazi kwamba atakataa (kwa sababu ni ukweli usiopingika kwamba wanataka kupeleleka ma-spy).
- Tatu tutalazimishwa sooooooote kwamba "unamuona huyo, anakataa uchunguzi, hivyo ni kweli anazo na katumia silaha za kemikali.
- Nne atapewa ultimatum ya kwamba lazima akubali ma-spy ("wachunguzi wa madai"). First whammy, akikubali kavamiwa
- Tano Bashar Assad atakataa!!!, hivyo namba tatu hapo juu ndio itapigiwa tarumbeta zaidi. Second whammy, hivyo the so called "international community" au "Coalition of the Willing" lazima wa-act kuuokoa ulimwengu. Syria inavamiwa.
- New Middle East is taking it's shape.