Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,383
jeshi la miguu la israel litateka eneo lolote la nchi inayochangia mpaka na iran then watashusha vifaru kwa ndege (ya baba yake us)Ha ha ha,nimeweka arguments tena kijujuu tu namna vile israel hataweza kuifikia iran,apart from using airforce,ambayo pia ni hopelless kwani israel hana bomber,ana hizi ndege zinaweza beba makombora ya kawaida kiasi cha manne ama sita,na hiyo ni uselles kwani vituo vya nuclear vya iran viko deep underground,hayo makombora yatapalaza tu kwa juu,inahitajika direct and repeatedly hit at the same target using nuclear bomb,sio hayo makombora ya kawaida kuweza kuharibu hizo site,bila msaada wa marekani ni impossible,
naomba tu mtu anieleze jeshi na vifaru vya israel vitaifikia vipi iran,ntatoa milioni kwa maelezo ya kuridhisha
nipe hiyo milioni chap kdg nitumie by halopesa
Sent using Jamii Forums mobile app