SYRIA: Ndege za Kivita za Israeli zashambulia ghala kwenye Uwanja wa ndege wa Damascus

kwanza kabisa shadow kamanda uache kukurupuka nilipost hivyo kujaribu bahati yangu ya one milion

kwaiyo idf hawana kamandi ya aridhi?

gaza huwa wanaingia kila wakitaka wanakula kichwa then wanasepa

hakuna mtu asiyejua kuwa iran yupo vzr kiasi chake japo israel kashinda mapambano mengi kuliko iran

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani israel size yake ni hamas tu not iran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla hata haujaongelea hao militias 90,000 wa Iran ndani ya Syria kujaribu kuonyesha kuwa ni threat unapaswa kuelewa hayo wala si mafanikio. Kumbuka Israel amezungukwa na nchi maadui tupu pale middle east na ameweza kuwa contain, hivyo 90,000 si lolote kwao na ni wewe unayelazimisha hiyo hofu, kama umemsikiliza vizuri mkuu wa majeshi anayeondoka amesema ni militia 100,000 jeshi ambalo ameliita la kijinga lisilo na maana ya yoyote kwa sababu ya kutokuwa na jeshi la anga wala kutokuwa na intelligence capabilities.
Hivyo Israel anafahamu movements zote lakini huwa anapima matokeo, akiona hazina madhara kwake wala hajisumbui nazo zaidi Iran ndiye anayepata hasara katika kufadhili makundi hayo ambayo Israel wao wameshaona hazitakuwa na madhara kwai. Kingine ambacho jeshi la Israel limekielezea ni kwamba kupigana na majeshi dhaifu kwa miaka mingi pia kunadhoofisha jeshi lako hivyo ndiyo maana wamekua wakijiepusha kujiingiza mara kwa mara kwenye kushambulia hao mgambo japo wana monitor every move yao, ila way forward yao kwa sasa si haya majeshi dhaifu tena, sasa hivi wataanza oprration dhidi ya Iran moja kwa moja, maana yake anachokifanya Iran hivi sasa, ajiandae kusogezewa uwani kwake, maana na yeye ana majirani wengi tu.
Hivyo unapoongea mambo usiongee kama vile wao Israel hawajui kinachoendelea, tambua kuwa wame invest heavily kwenye intelligence na uwekezaji wao ni above world class.

Lakini hao wanaoitwa "wajinga" walimtoa kamasi ile vita ya 2006 kule Lebanon, general asisahau hilo .....
Kweli Israelí ni super power Ila silaha tu haishindi vita , mfano hai kule Vietnam, nini kilimpata Mmarekani licha ya silaha zake , hapo Afghanistan mpaka leo kaganda na anataka mazungumzo na Al-Qaida .
Elungata kasema Point za kistratejia ila wengine tuna ushabiki wa mahaba.

Mi mtizamaji tu ....
 
Sidhani kama ulichagua kuelewa wakati unasoma post yangu. Inaonekana muda wote ulipokua unasoma ulikua unatafuta kujua kama itaelezea unayoyataka.
 
jeshi la miguu la israel litateka eneo lolote la nchi inayochangia mpaka na iran then watashusha vifaru kwa ndege (ya baba yake us)nipe hiyo milioni chap kdg nitumie by halopesa Sent using Jamii Forums mobile app
undefinedinabidi iteke kuanzia syria mpaka iraq,israel haina logistic na personal ya kuoccuppy eneo kubwa hivyo,kabla hata hawajaifikia iran
 
Muisrael anapata advantage kubwa kitechnolojia maana anapata mahali pa kufanyia majaribio ya ku-penetrate technology ya mifumo mbalimbali ya makombora ya kujilinda dhidi ya makombora ya adui.
Hii inaleta madhara kwa waundaji wa mfumo S-300 kwa kuufanya uwe sawa au chini kidogo ya tank T8.

Mpaka Sasa hatujui Kama hio S-300 imewashwa au laa, Ila tukitaka tujue uthibati wake , Basi atokezee mtu arushe makombora pale kwenye kambi ya wanamaji wa Urusi , mjini Latakia....
Ila Israel kwa Sasa kapata uwanja wa majaribio ya silaha zake , nafasi ambayo zamani ilikiwa "nyeupe" Ila kwa Sasa ishaanza kuota "magugu".
 
Mbona picha zinafanana na zile za shambulio la marekani mwaka jana.,Ukitizama picha zile walizotoa Syria wakionyesha SAM ziki intercept cruise missiles,zinafanana na hizi za sasa.
Kabisa Mkuu na hii sio mara ya kwanza wanadai wametungua makombora kumbe hamna kitu

Syrian Minister Reveals Damage Done in Israeli Airstrike on Damascus

Kwa akili ya kawaida hivi inawezekana kweli kombora moja tu liweze kuharibu majengo kadhaa,ndege,nk?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dw4-FU_WsAAUNw6.jpg:small

do_re_mi_fa_sol@ doremif05837698 35m
Replying to @ImageSatIntl Netanyahu U guys rocking the middle east
View conversation ·midsummermoons@ arash_sheikh65 22m
Replying to @ImageSatIntl Netanyahu
Looks like it was empty!
View conversation ·Bertram@ Bieberbruch 8m
Replying to @arash_sheikh65 @ImageSatIntl
That was just the storage shack of the duty free shop behind it. Sure as hell it was empty, or the airport would have been blown apart if a heavy rocket goes boom! Pure propaganda attack without any real military value, just done for Bibi´s election campaign.
View conversation ·
 
Mkuu @kokuyo nimekuwekea picha updated kabisa kutoa imagesat,jengo liloharibiwa ni mmoja tu,yale ya pembeni yako intact,angalia twitter za watu mda huu zinasema ni wazi ghala lilikuwa Empty,
huyo waziri anachofanya ni propaganda kuwapoteza maboya israel,it was an empty godown,
sorry kwa hizo undefined
 
Mkuu @kokuyo nimekuwekea picha updated kabisa kutoa imagesat,jengo liloharibiwa ni mmoja tu,yale ya pembeni yako intact,angalia twitter za watu mda huu zinasema ni wazi ghala lilikuwa Empty,undefinedhuyo waziri anachofanya ni propaganda kuwapoteza maboya israel,it was an empty godown,undefinedsorry kwa hizo undefined
Kwani silaha ni lazima ziwe Rocket tu?! Hata AK-47 nazo ni silaha,lakini hiyo sio main point ila point yangu kuu ni kwamba kama Syria imetungua makombora yote na moja tu ndo limepenya. Swali ni je, kombora moja tu lina uwezo wa kufanya uharibifu wote huo?!
Tena isitoshe makombora yenyewe ni Cruise missiles ambazo hata hazibebi payload kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajadungua makombora kasoro moja,usipende kuamini taarifa za mwanzo,lakini ni wazi kuwa hilo jengo ndilo limereserve direct hit,ndo maana hata image zake zipo,
watu sikuhizi wanaconfirm kwa image,kama una twitter,link hiyo imagesat international account hawa ndio popote pale duniani kunapotokea shambulizi hutoa image yaeneo husika
 
Israel lengo lao kuu lilikua ni kulipua hilo liwarehouse ambapo misilaha ya Iran ikishushwa hapo Damascus airport inawekwa humo na wamefanikiwa.

Halafu silaha sio lazima ziwe Rocket, Kuna Rocket launchers,bunduki,nk hizo zote ni silaha na hata hizo Rocket unaweza kuta zilikuwemo lakini bado zilikua hazijawa armed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajadungua makombora kasoro moja,usipende kuamini taarifa za mwanzo,lakini ni wazi kuwa hilo jengo ndilo limereserve direct hit,ndo maana hata image zake zipo,
watu sikuhizi wanaconfirm kwa image,kama una twitter,link hiyo imagesat international account hawa ndio popote pale duniani kunapotokea shambulizi hutoa image yaeneo husika
Hata shambulizi la 25 Dec walidai wametungua makombora yote lakini kuamka asubuhi Imagesat wakatoa image ya warehouse iliyoshambuliwa ikionyesha jengo likiwa limeharibiwa kabisa.

fundi25 akadai tusubiri taarifa zaidi mpaka Leo sijamwona,nahisi alikua kwenye yale mahandaki ya Hezbollah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashambulizi hayakulenga airport tu,walishambulia pia maeneo mengine ndo maana bado nasaka taarifa kujua kama kuna sehemu zilipigwa mpaka sasa image iliyopo ni ya hilo ghala tu,
sasa kwa haraka haraka mtu kusema kombora moja tu lilipenya si ajabu kwani mpaka sasa target iliyoharibiwa ni moja tu,labda kama kutaibuka picha zingine,nisichoamini hata mimi ni kuwa kombora moja halitoshi kulitawanya jengo la mita 20x50,either target ilipigwa na multiple missile,au kuna kitu sikielewi,
ghala hilo lilipigwa pia 2013,sidhani kama iran wanaweza kuwa wanaweka vitu mle wakati wanajua hilo ghala ni target
 
Asante kwa kukubaliana na Mimi kwamba kuna walakini kwa kombora moja kuweza kushusha hilo jengo lote. Mpaka hapo inaonyesha kwamba Syria wametuhadaa na kwamba huenda ni makombora mengi tu yalipenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi huu uwanja wa ndege in mkubwa kiasi gani?maana kila shabulizi la Israel utasikia wameushambilia uwanja wa ndege Damuscas lakini sijawai kusikia umefungwa au umeharibiwa.sasa ninashidwa kuelewa hayo makombora ya Israel huwa yanapiga wapi?nimeanza kutilia shaka hizi habari za Israel kuishambulia siria.

Sidhani kama ni zakweli. Ila hapo wafuasi wa israel/watakubishia hadi kesho.
 
Hata shambulizi la 25 Dec walidai wametungua makombora yote lakini kuamka asubuhi Imagesat wakatoa image ya warehouse iliyoshambuliwa ikionyesha jengo likiwa limeharibiwa kabisa.

fundi25 akadai tusubiri taarifa zaidi mpaka Leo sijamwona,nahisi alikua kwenye yale mahandaki ya Hezbollah

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuendeleye kusubiri mkuu Bado kuna wingu Ila siku siyo nyingi tutajuwa kwa nini nyeti za kuku hazionekani adi apulizwe na upepo mkali sana!
 
Back
Top Bottom