nankumene
JF-Expert Member
- Nov 12, 2015
- 7,408
- 8,223
Syria kuna S-400 tu nayo ni ya russia iliopelekwa baada ya turkey kushoot jet yao.why haina, wakati warusi walishasema ndege zinzoruka syria lazima azijue zote.
Syria kuna S-400 tu nayo ni ya russia iliopelekwa baada ya turkey kushoot jet yao.why haina, wakati warusi walishasema ndege zinzoruka syria lazima azijue zote.
Ndege ziluzodunguliwa syria picha zilitumwa mtandain tukaziona....sasa wao wametungua halafu ikayeyuka?chopa ya russia ilipotunguliwa allepo russia wakatuma jet kwenda kuilipua mda mfupi tu baada ya kutunguliwa lakin picha zilikua zmeshasambaa kitambo so ikabidi wakiri tu,sasa syria wangetoa proof na waonani ulimsikia amekiri kudunguliwa ndege zake kwenye medani?..sana watadai malfunction
Ndege za russia zilipotunguliwa tuliona mabaki yake,video zilipostiwa sana youtube na hata maiti ya ruban wakirusi zilionekana sasa kwann watu wasiamini...sasa hii ya israel hata picha ya jivu hamna!!!Ingekuwa ndege za Urussi ama Iran zimedunguliwa ungesikia kila mmoja anasema "nikweli bana zimedunguliwa,tena sio mbili ni 4 kabisa"
Lkn kwakuwa ni ndege za Israel kila mmoja atapinga, ha ha ha haaa wabongo bhana kaazi kwelikweli.....
hoja yako dhaifu kweli..!yote hyo mahaba,ulitaka wakae na camera kurekod kila kitu kwenye medani,ndege ikidunguliwa si lazima idondoke hapohapoNdege za russia zilipotunguliwa tuliona mabaki yake,video zilipostiwa sana youtube na hata maiti ya ruban wakirusi zilionekana sasa kwann watu wasiamini...sasa hii ya israel hata picha ya jivu hamna!!!