Tunatofautiana sana kimawazo. Mimi sioni ubinafsi wowote hapa chitchat. Sidhani kutochangia thread ni dalili za ubinafsi. Mleta mada akumbuke kwamba kuanzia Novemba 15, kulikuwa na mgao mkali wa umeme.Baadhi yetu tulishindwa
kuingia JF kwa siku mbili tatu hivi. Mtoa mada angetoa kipindi kingine cha hali ya ubinafsi na sio kipindi ambacho wadau walikuwa na kikwazo cha kuingia JF.
Halafu hayo maneno yaliyotumika mwishoni mwa mada si stahiki, yanapunguza seriousness ya thread!
Ah kumbe ulikuwa unanilenga mimi? Mtu hachangii mada ili aonekane amechangia na jina lake kuekewa tik. Mtu anachangia mada kwa sababu mada hiyo inamgusa kwa namna anavyojisikia. Mimi ni hivohivo, sichangii ili niwekewe tik. Kama wewe watembea na kalamu na karatasi kuwawekea tik waliochangia na eksi wasiochangia, unavua samaki kwa kutumia kisu.Hayo maneno ya mwishoni , nimeyapunguza do review!
Coz nathamini/nakubali kukosolewa .
Note : Wabinafsi niliyowalenga wapo sustainable, before power scarcity and later!
Mf. Wewe SHIEKA uwe unakuja hapa once per week ! Na ukija huchangii mada yeyote jamvi .
Una share only comments za kwenye uzi wako! Siku ikiisha huonekani kokote hadi next wik ,
Kwa style ileile .
Wote tukifanya hivyo patakuwepo jamvi?
Siku zote hukumu zako ni za mlengo wa kushoto
mi najionea kawaida tu..................siku vikinituma huwa nacomment weeee
ila thread ndo huwa sianzishagi wallahi
Hayo maneno ya mwishoni , nimeyapunguza do review!
Coz nathamini/nakubali kukosolewa .
Note : Wabinafsi niliyowalenga wapo sustainable, before power scarcity and later!
Mf. Wewe SHIEKA uwe unakuja hapa once per week ! Na ukija huchangii mada yeyote jamvi .
Una share only comments za kwenye uzi wako! Siku ikiisha huonekani kokote hadi next wik ,
Kwa style ileile .
Wote tukifanya hivyo patakuwepo jamvi?
Tena wewe hii thread inakuhuu sana yan
ndio upi huo mlengo my brother
Ah kumbe ulikuwa unanilenga mimi? Mtu hachangii mada ili aonekane amechangia na jina lake kuekewa tik. Mtu anachangia mada kwa sababu mada hiyo inamgusa kwa namna anavyojisikia. Mimi ni hivohivo, sichangii ili niwekewe tik. Kama wewe watembea na kalamu na karatasi kuwawekea tik waliochangia na eksi wasiochangia, unavua samaki kwa kutumia kisu.