Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
Wana wa Bodi .
Kwa muda sasa nimekua siridhishwi na niyaonayo hapa mjengoni .
Saratani ya "UBINAFSI" na "UMIMI-UMIMI" naiona kila uchao inaendelea kuushambulia mjengo ! .
Nikifunguka zaidi , niseme -
Hapa mjengoni wako baadhi ya Members ambao kwa wiki nzima hawatii maguu mjengoni Chtcht kuchangia Thrade yeyote .
Bali huja na kushusha Thrade zao mara 1 kwa wiki .
Na hiyo siku 1 anayokuja hapa na Post yake , basi angekua anachangia pia na Post zingine anazozikuta .
Hachangii !
Atakomaa tu na Post yake basi .
Nachokishangaa bado unakuta baadhi ya Members wana share comments na watu sampuli hii .
Sijui nanyi wadau wenzangu , kama hili mnaliona .
Hivi wewe huna time ya ku'share vyangu , mimi ndiyo niwe maalumu wa kushare vyako !
Inayumkin ?
Nye.ge si ni kunyegeshana jamani ?
Nawasilisha !