unaweza kujaribu CFW (custom firmware) ambayo ni firmware watu waliotengeneza kutoka kwa OFW ila wametoa toa vitu vya kipumba. na kingine cha maana watu husahau ni kwamba
dont install/put anything in C:/. RAM ya smartphones (with a few new expections) hurun on the low side. hivi basi, unavyo tumia RAM consuming tasks ina "borrow" space kutoka kwa C:/ itumie temporarily kama RAM. sasa basi, unavyoweka apps/music na files kwenye C:/ unakuwa umenyima OS uwezo wa kujiongeza RAM. ushauri wangu ni kwamba kabla hujapata CFW, tafuta program iitwayo x-plore na uitumie kumake sure huna kitu ambacho umeweka kwa C:/. hata apps ulizoinstall kwa C:/ toa na utaona a significant change
regards
leh