Papizo za siku?
Ni vema kama umempa ushauri huyo ndugu namna ya kuanza kusoma hiyo CCNA. WEngi wanaisifia
Ahsante kwa ushauri wako mkuu, japo muda nilio nao ni mdogo sana kuweza kwenda chuo kwa sasa, nimependelea zaidi kusoma online kama inawezekana lakini
Sijakuelewa mkuu, unamaanisha paper ya mtihan au ya nin?Kama una kichwa kizuri jisomee mwenyewe online then book paper nenda kafanye,ila kama una kichwa kizito nakushauri nenda kasomee sehemu za kulipia
N.B tukae tujue kwamba ikifika mwezi wa tisa inatolewa paper mpya kabisaaa na kila kitu kipya so kuja kupata material online itachukua mda kidogo...
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sijakuelewa mkuu, unamaanisha paper ya mtihan au ya nin?
CCNA ni certification ya networking inayotolewa na Cisco Networking Academy.
Na kwa watu ambao hatujasoma computer tunaweza soma hii kitu??
Unamaanisha nini kusema mtu ambaye hajasoma computer?
Mwenye degree au anayesomea degree ambayo sio ya IT au computer mfano engineering..education..
CCNA ni certification ya networking inayotolewa na Cisco Networking Academy.