ynyend1
Member
- Nov 19, 2012
- 73
- 13
Hivi kwa nini Tanzania tusingekuwa na syllabus inayofanana kwa similar courses ambazo hutolewa vyuo vikuu?? For example, kama mtu anasoma Bcom Accounting UDSM, na mtu mwingine anasoma Bcom Accounting UDOM, kwa nini course contents zisiwe similar in all material respects?? Au TCU wanalizungumziaje swala hili? Naomba kuwasilisha hoja!!