Sylabus za elimu ya Tanzania

JPM605

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
216
122
Kwa yeyote mwenye mihutasari ya elimu ya Tanzania hususani kwa masomo ya phy na hesabu kwa o'level na a'level katika mfumo wa kidigitali naomba aipost humu ndani.
 
Sidhani kama kuna mtu binafsi au hata taasisi iliyoona umuhimu wa kuwa na nakala elektroniki za mitaala hiyo. Maana hata ukitemebelea tovuti za MoEVT na TIE hawana mitaala hiyo. Ushauri, tafuta kwenye maduka ya vitabu.
 
Back
Top Bottom