connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 1,736
- 2,297
Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya.
1. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess ananipotezea
2. Kumbuka hela yenyewe ya tiket nimejibana zaidi ya mwaka, nikaona usinitanie nikanyanyuka kuyafuata kufika huko ananiletea ujinga nikabeba chupa kubwa zima kibabe. Nikaanza kugida palepale abiria wengine wanashangaa tu.
3. Saa ya kugawa msosi, kaniruka makusudi kisa mimi mweusi nikanyanyuka nikaenda kwenye hiyo tray ya misosi nikajibebea container 2 nikarudi kwenye siti yangu nikapiga msosi kimyaaa.
4. Ile nashuka ZURICH naona wananichekea-chekea. Wengine tumekulia kwenye dhiki hata kupanda ndege ni baada ya kujibana miaka kadhaa