Swiss Airline punguzeni ubaguzi

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,736
2,297
Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya.

1. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess ananipotezea

2. Kumbuka hela yenyewe ya tiket nimejibana zaidi ya mwaka, nikaona usinitanie nikanyanyuka kuyafuata kufika huko ananiletea ujinga nikabeba chupa kubwa zima kibabe. Nikaanza kugida palepale abiria wengine wanashangaa tu.

3. Saa ya kugawa msosi, kaniruka makusudi kisa mimi mweusi nikanyanyuka nikaenda kwenye hiyo tray ya misosi nikajibebea container 2 nikarudi kwenye siti yangu nikapiga msosi kimyaaa.

4. Ile nashuka ZURICH naona wananichekea-chekea. Wengine tumekulia kwenye dhiki hata kupanda ndege ni baada ya kujibana miaka kadhaa
 
Attachments

  • images (28).jpeg
    images (28).jpeg
    43.3 KB · Views: 12
Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess ananipotezea, kumbuka hela yenyewe ya tiket nimejibana zaidi ya mwaka, nikaona usinitanie nikanyanyuka kuyafuata kufika huko ananiletea ujinga nikabeba chuoa nzima kibabe, saa ya kugawa msosi, kaniruka makusudi kisa mimi mweusi nikanyanyuka nikaenda kwenye hiyo tray ya misosi nikajibeba container 2 kimyaaa. Unyama-unyama tu
Kweli bado kuna ubaguzi mkubws sana ulaya....pua German ubaguzi upo sana
 
Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess ananipotezea, kumbuka hela yenyewe ya tiket nimejibana zaidi ya mwaka, nikaona usinitanie nikanyanyuka kuyafuata kufika huko ananiletea ujinga nikabeba chuoa nzima kibabe, saa ya kugawa msosi, kaniruka makusudi kisa mimi mweusi nikanyanyuka nikaenda kwenye hiyo tray ya misosi nikajibeba container 2 kimyaaa. Unyama-unyama tu

Rudi nyumbani mkuu wakija huku tunawanywesha K VANT pale slip way
 
Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya.

1. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess ananipotezea

2. Kumbuka hela yenyewe ya tiket nimejibana zaidi ya mwaka, nikaona usinitanie nikanyanyuka kuyafuata kufika huko ananiletea ujinga nikabeba chupa nzima kibabe.

3. Saa ya kugawa msosi, kaniruka makusudi kisa mimi mweusi nikanyanyuka nikaenda kwenye hiyo tray ya misosi nikajibebea container 2 kimyaaa.

4. Ile nashuka ZURICH naona wananichekea-chekea. Wengine tumekulia kwenye dhiki hata kupanda ndege ni baada ya kujibana miaka kadhaa
Mm ningemkwida
 
Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya.

1. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess ananipotezea

2. Kumbuka hela yenyewe ya tiket nimejibana zaidi ya mwaka, nikaona usinitanie nikanyanyuka kuyafuata kufika huko ananiletea ujinga nikabeba chupa kubwa zima kibabe. Nikaanza kugida palepale abiria wengine wanashangaa tu.

3. Saa ya kugawa msosi, kaniruka makusudi kisa mimi mweusi nikanyanyuka nikaenda kwenye hiyo tray ya misosi nikajibebea container 2 nikarudi kwenye siti yangu nikapiga msosi kimyaaa.

4. Ile nashuka ZURICH naona wananichekea-chekea. Wengine tumekulia kwenye dhiki hata kupanda ndege ni baada ya kujibana miaka kadhaa
CHAI YA KITOTO.... MBICHI
 
Aisee!
Pole na hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom