IRAQW MINING
Member
- Apr 18, 2011
- 86
- 6
Mtumie Private Message right????
Jaman wana jf mtaniwia radhi kwa kuweka mambo yangu binafs hadharan kwan sijui namna nyingine ya kufikisha ujumbe wangu kwa nimpendae sweety lady! Swety lady mamii yani huwez amin nimeoteshwa kuwa ww ndio utakuwa mtu wangu wa krbu na wa mhm sn,km kuna mtu anapingamiz juu ya hili aweke wazi hapa.
mbona ww km dadangu vle? Tatizo sijui hiyo private msg nitatumiaje.
Adoma garma..........xaye kwa tiqi?
Utakufa kwa kutongoza vi-ID vya JF na Avatar.......... Ungejua tu huyo Switiledi ni bonge la Baunsa ukumbi fulani ya disco vumbi kule TMK usingethubutu...............teh.............natania msijenipiga mawe
Ila jamani wale wazoefu wa JF hasa jukwaa la MMU wa long time siku moja muandae semina hapa jukwaa ya matumizi ya PM maana nahisi hayaeleweki kwa wengi.......
Content iwe
- What is PM
- How to PM
- Who you can
- Mambo gani ya ku-PM (hapa muhimu sana na kwa musisitiso mukubwa kabisa)
- How to handle and respond to PM (tusijeletewa sebuleni ya chumbani, mtatupofusha macho bure sie watoto)
- Adhabu kwa atakaeanua jukwaani mambo ya PM au yanayostahili kuandikwa kwa PM .............tehe.....

asayuu gwargwe! Khaaa lati abaunsa! Oobabew.
hahahahaah lol OOooobabew
Garma faarog
lati kung akoren! Dirtahot gwargwe?
umeanza lini kumpenda au ghafla?
una mjua?
vipi kama ni dume au mixer?
Hapo sasa!! Mi kwanza na watu wanaooteshwa mbali, mbali. Dini yangu haiamini kwenye ndoto!!