Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Ubalozi wa Swedeni Tanzania kupitia kwa balozi wake ANDERS SJOBERG ameeleza kuwa Tanzania itafurika wawekezaji kutokana na uwepo wa mazingira mazuri ya kibiashara yaliyojengwa na serikali ya awamu ya tano iliyochini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe John Pombe Magufuli hasa baada ya kudhibiti vitendo vya rushwa, ujenzi wa miundombinu na umeme wa kutosha(stigielers!gorge),
Wenye maono mambo haya tulishayaona siku nyingi,'unapoona Rais anafufua Shirika reli, ATCL kujenga miundombinu, bali na manufaa ya moja kwa moja ya kujipatia fesha kupitia nauli zinazotozw anakuwa anaboresha mazingira ya biashara.