Swap.

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,468
Reaction score
17,971
Jamaa yangu amepokea ujumbe wa sms toka airtel ukisema sim card yako inataka kufanyiwa swap. Kama hujaomba huduma hiyo piga no 100.

Baada ya kama dk 5 line ikawa haisomi tena. Kufanya swap nilazima uombe kufanyiwa. Ukifanya Swap line inakuwaje? Au ilikuwa na tatizo gani mpaka uianyie swap?
 
Haha pole mkuu swap ni kama ku tengeneza line hivi inawezeana kuna mtu kakufanyia huo mchezo na anaitumia vibaya line yako ni uelewa wangu mdogo ndio huo
 
ushauri akaripoti polisi, hio ni tabia mbaya sana wanayo wale jamaa wa miemvuli au ambao wapo ofisini wanaiba namba za watu nzuri nzuri na kuzisajili kwenye line nyengine na kukupokonya umiliki wa hio line.

hapa hujui walioisajili hio line wanaenda kuifanyia nini.
 
mmmhh! hiyo kitu ni hatari hapo piga 100 uwaeleze pia unaweza kutoa taarifa polisi maana sasa hivi laini yako atakuwa anatumia mtu mwingine na anaweza kufanya tukio la uhalifu ukaonekana ni wewe maana navyojua usajili huwa haubadiliki
 

mmmhh! hiyo kitu ni hatari hapo piga 100 uwaeleze pia unaweza kutoa taarifa polisi maana sasa hivi laini yako atakuwa anatumia mtu mwingine na anaweza kufanya tukio la uhalifu ukaonekana ni wewe maana navyojua usajili huwa haubadiliki
Ahsanteni kwa maelezo yenu. Ntamwambia jamaa aende airtel shop kujua nini cha kufanya.
 
baada ya ku renew sim card nisubiri muda gani ili niweze kuitumia wakuu ? maana nilisibiri masaa 6 nikaoweka ikaandika “registration fail”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…