"okay sawa...."Swanglish ni Kiswahili na Kingereza vinapooanishwa vikipenda visipende.
Si ajabu kukumbana na maandiko au maongezi ambayo wengi wetu hujikuta tonaoanisha Kiswahili na Kingereza bila kudhamiria.
Jee, ni wangapi wanafahamu maneno ya Kingereza tunayo wapachikia katika Kiswahili? Ukichukulia kuwa huwa tuna bofya "bombastic" ambazo hata kwa anaeelewa Kingereza lazima akajikumbushe kwenye "dictionary."
Jee, ni wangapi ambao hupachika tu maneno ya Kingereza bila hata kuoana na sentensi wanayoiongea/andika? Hawa huwa hawaelewi na wanapachika tu neno lolote linalowajia iki waonekane wanaelewa au huwa neno hilo wanalielewa kivingine?
Umekumbana na lipi likakufanya ucheke, japo kimoyomoyo? Au umekutana na lipi likakufanya usielewe kabisa ulichoambiwa lakini ukakubali tu mradi yaishe?
Ni sahihi kutumia Swanglish?
Sidhani kama upo sahihi. Lugha huzidisha upana wa uelewa na kuna maneno mengi ya Kiswahili yametokana na Kingereza na ukichukulia kuwa elimu yetu (tuliosoma zamani) ilikuwa yote ni English medium, inatuwia vigumu kuwacha kutupia vijineno vya Kingereza japo tunajitahidi isiwe hivyo!
Sahihi kabisa. Hilo hututokea mara nyingi sana. Umetukumbusha.
Yet there are men who take (for worship) others besides Allah, as equal (with Allah.: They love them as they should love Allah.But those of Faith are overflowing in their love for Allah.If only the unrighteous could see, behold, they would see the penalty: that to Allah belongs all power, and Allah will strongly enforce the penalty. (Surah Al-Baqara, 165)
Ungeandika toka kulia kwenda kushoto ingeleta maana zaidi. Just thinking out loudYet there are men who take (for worship) others besides Allah, as equal (with Allah.: They love them as they should love Allah.But those of Faith are overflowing in their love for Allah.If only the unrighteous could see, behold, they would see the penalty: that to Allah belongs all power, and Allah will strongly enforce the penalty. (Surah Al-Baqara, 165)
Ungeandika toka kulia kwenda kushoto ingeleta maana zaidi. Just thinking out loud
Sent using Jamii Forums mobile app
Tonaoanisha=tunaoanisha.Swanglish ni Kiswahili na Kingereza vinapooanishwa vikipenda visipende.