tulia kwanza halafu uanze taratibu kuelezea lililokusibu kuanzia kwenye heading hilo neno suali na post yenyewe.Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali ishakua mbaya maana vitu vinaoza na ww ulisema shida ya umeme sasa basi kulikoni ama waziri huwezi kuaimamia maneno yako
hujakulia bongo naona kiswahili kinakusumbua kidogo
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Bado umeedit ila umekosea tena hizo double ll hapo kwenye suali to swalli inatakiwa kuwa Swali.Hahaaa kamanda mm ni mzawa na nimekulia ndani ya jiji ila ni hasira kweli maana hawa washenzi kila kukicha wanaukata umeme unashindwa hata kupumzika na familia kwa joto
Waziri muhongo suali langu ni kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni ndo munauasha jee kuna mgao wa umeme je kuna matatizo n y unazimwa bila ya tAarifa sasa hii hali ishakua mbaya maana vitu vinaoza na ww ulisema shida ya umeme sasa basi kulikoni ama waziri huwezi kuaimamia maneno yako
kwa nini tokea jana munatuzimia umeme toka asubuhi mpaka jioni
Hahaaa kamanda mm ni mzawa na nimekulia ndani ya jiji ila ni hasira kweli maana hawa washenzi kila kukicha wanaukata umeme unashindwa hata kupumzika na familia kwa joto