Swali

stella Kanuti

New Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Ni kwa namna gani mwanasayansi Albert Einstein alichangia katika kuchipuka kwa riwaya ya kiswahili?
 
Khaaah!! Albert Einstern na kiswahili wapi na wapi?
 
E = mc2 (Energy = mass x square velocity)
Kama hii formula ipo kwenye kiswahili basi Einstein alichangia sana.
 
Sasa swali ka hilo application yake utakutana nayo wapi ktk maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…