Umepanda daladala halafu hukupata siti ukasimama. Sasa hapo pembeni yako abiria mwenzio anachati na mpenzi wake.Sasa kwa umbea wako ukawa unakula chabo,ukakuta anaelekezwa ashuke kituo mlichopo na ukicheki ndo ana pitishwa kituo.
je utamwambia au utakula buyu ili usionekane mnoko???