Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
naombeni kuwauliza wadau. Hv ni sehemu gani Morogoro za kugegeda?
Una kiasi gani? Kuna mashamba ya kugegeda miti, mpunga, mahindi na mtama....ni hela yako tu mkuu. Kuna ya kuanzia milioni mbili hadi 100 kwani ardhi ya kugegeda ni kubwa mno.