wapwa na mabinamu mi nina mtizamo tofauti kidogo
Kimsingi sioni justifiable reason kwa nini mdogo wake MJ1 awe na wa wasi wasi na mumewe
Mi binafsi huwa nazima simu usiku....kuna watu wana tabia mbaya, wanakupigia hata saaa sita saa nane kukujulia hali sijui kitu gani kwangu huo ni usumbufu
na my wife wangu pia huwa anazima tunamwomba Mungu apishie mbali mabaya yote ya usiku huo, kama lipo tulijue asubuhi.
Hii ni kwa sababu ya kupata muda wa utulizu na my wife wangu. Ikitokea nimesafiri au amesafiri hapo simu iko jewani 24/7.
ndio maana simshanga huyu bwana. sana sana amsomeshe kuwa ni nzuri kwa afya ya ndoa yao. Na kamwe asidanganyoke kujitia kutaka kuichokonoa kama hana mazoea hayo kwa sababu itajenga picha mbaya kweli kweli.
MJ1, mpigie mdogo wako. Mwambie kila kitu kiko shwari unless kuna TATIZO jingine lakini kama ni hili tu, atulie. Amekwambia kama wanadumisha mila kama kawaida au kuna tatizo?
Mbona watu wanayatafuta matatizo huko yaliko jameni?
Sasa mshiki ndo unamtosa tena? Asije akajidanganya Geoff ni mali yake mwenyewe kama yalivo mashavu yake (ya usoni tafadhali).
Hapa ndipo ninapotamanigi na sie tungekuwa na uwezo wa kuwapatia mimba wanaume ah!! Mnatilisha hacra sana na nyie bana!Tena bibie kama unajidanganya kuwa mmeo anakupa dozi wewe peke yako ujue imekula kwako! Hivi unafikiri hao mamilioni ya kinadada ambao hawajaolewa wakiwemo mabaamedi hizo mimba wanapewa na majogoo? Ni midume yenye wake zao wazuri tu!
Babu nimekoma umenichekesha leo hadi nimelia loh we lazima ulishawahifanya kazi Mwatex au Urafiki hayo maneno si bure
Au ulikuwaga mpiga ngoma wa mdundiko!
dada huyu bwan shem akiwa mbali na wife ndo huiwasha but akija tu likizo kwa mkewe anazima kila ifikapo usiku. Lakini kabla hajapata kazi ya mkoani hakuwaga anazima simu au kwa vile ndoa ilikuwa bado changa??? sijuisasa huyu yupo mbali na mkewe kwanini azime cmu tena ucku kwa ucku tu?
Hapan aBabu sasa huyo wa kuzaa naye ndo kama hao wa kuzima simu usiku babu? hapana moyo utakuwa na makunyanzi mwisho nijifungue mtoto mwenye matatizo ya ajabu bure!Sasa sio unacheka tu afu unanibania kitukuu! Unaogopa maternity leave?
Nilishaanza kujiuliza ulikokwenda leo
Hata kama zamani hakuwa hivyo? Tabia hii imeanza alipohamishiwa mkoani so akirudi anazima ndo mana dogo akawa na shaka .......na mie nikamwagia petrol kwenye moto wake loh
Afadhali mumeniambia ngoja niwithdraw............ maneno yangu.
Tena bibie kama unajidanganya kuwa mmeo anakupa dozi wewe peke yako ujue imekula kwako! Hivi unafikiri hao mamilioni ya kinadada ambao hawajaolewa wakiwemo mabaamedi hizo mimba wanapewa na majogoo? Ni midume yenye wake zao wazuri tu!
Hapa ndipo ninapotamanigi na sie tungekuwa na uwezo wa kuwapatia mimba wanaume ah!! Mnatilisha hacra sana na nyie bana!
sasa huyu yupo mbali na mkewe kwanini azime cmu tena ucku kwa ucku tu?
aha.. i never thought of that but then I would respect his privacy I guess... u know I wouldnt like it either if he started going through my stuff......and when you are in need of voda rusha, he says no. You can't touch my phone, it is off. How do u like that?
mi nampendaga huyo binamu xpin kwa kuongea ukweli lol.mie hapo ndio nabakiaga hoi.....kimwili na kiroho.
MJ1 jamani...kwani kumpa live ndio kutasababisha asiendelee, ndio unampa akili ya kufanya kwa maarifa zaidi, unajua mie nshajichokeaga na haya mambo cku hizi yangu macho na mackio lakini acnichezee akili.
wapwa na mabinamu mi nina mtizamo tofauti kidogo
Kimsingi sioni justifiable reason kwa nini mdogo wake MJ1 awe na wa wasi wasi na mumewe
Mi binafsi huwa nazima simu usiku....kuna watu wana tabia mbaya, wanakupigia hata saaa sita saa nane kukujulia hali sijui kitu gani kwangu huo ni usumbufu
na my wife wangu pia huwa anazima tunamwomba Mungu apishie mbali mabaya yote ya usiku huo, kama lipo tulijue asubuhi.
Hii ni kwa sababu ya kupata muda wa utulizu na my wife wangu. Ikitokea nimesafiri au amesafiri hapo simu iko jewani 24/7.
ndio maana simshanga huyu bwana. sana sana amsomeshe kuwa ni nzuri kwa afya ya ndoa yao. Na kamwe asidanganyoke kujitia kutaka kuichokonoa kama hana mazoea hayo kwa sababu itajenga picha mbaya kweli kweli.
MJ1, mpigie mdogo wako. Mwambie kila kitu kiko shwari unless kuna TATIZO jingine lakini kama ni hili tu, atulie. Amekwambia kama wanadumisha mila kama kawaida au kuna tatizo?
Mbona watu wanayatafuta matatizo huko yaliko jameni?
mi nampendaga huyo binamu xpin kwa kuongea ukweli lol.
wewe kaka wewe leo umemeza nini? au betry za evaready shika paka pawa?Tena bibie kama unajidanganya kuwa mmeo anakupa dozi wewe peke yako ujue imekula kwako! Hivi unafikiri hao mamilioni ya kinadada ambao hawajaolewa wakiwemo mabaamedi hizo mimba wanapewa na majogoo? Ni midume yenye wake zao wazuri tu!
aha.. i never thought of that but then I would respect his privacy I guess... u know I would like it either if he started going through my stuff...
Beleave me if man or woman wanna cheat no one gonna stop them but still we should always try to trust our partners... I beleave that a cheater can not cheat all his life without been caught...
hivi kwa nini huwa tuna hangaika hata wakati tunajua kabisa hapa mtu wangu ana-cheat!!! unataka mpaka ufukunyue uone kitu live afu upate pressure ndo uridhike...mi nampendaga huyo binamu xpin kwa kuongea ukweli lol.
Binamu nashukuru sana kuna siku ulinipa ushauri kuhusu simu nakukumbuka always na ninafanya hivyo
Lakini huku kuzima kwako simu ndo maana siku moja nilikuwa nakupigia saa nane tisa usiku simu haipatikani kumbe ulizima eeeh ,,am kidding
Mimi mme wangu akifanya hivi nitamuuliza tu why anazima simu usiku,u never know labda hataki usumbufu wa simu usiku baada ya kufanya sana kazi .habarini wanandugu
Kuna wakati nilishawahi kuuliza dalili kuwa mwenzio si mwaminifu kwako ni zipi nikashindwapata jibu. Sasa nauliza specifically maana kuna mdogo wangu kaja analalamika kuwa mumewe haeleweki siku hizi kila akija au yeye akienda (wanaishi mikoa tofauti) usiku lazima mume azime simu zake. Akimwuuliza anadai kuwa zina matatizo ya charge!! Yaani hata akiomba kurushiwa credits mr atawasha, amtumie kisha anazima.
sasa mie alivyoiweka kwangu naona ni kama mr anaavoid kugonganisha magari hewani au nakosea?
Je mkeo/mumeo akifanya hivi utafikiriaje?
2. Kafanye nini kutoa huu wasi wasi wake?