Swali

Taratibu homeboy! Babu yake nipo. Ntamganga kwa tiba asilia.

hahaha hommie umefufuka? umemsoma mchumba hapa? nimeangalia sijaona lakiniπŸ˜€ vipi ndo kusema babu atampa mjukuu msesewe kama dawa eeh?πŸ™„
 
Masaki!!
 
hahaha hommie umefufuka? umemsoma mchumba hapa? nimeangalia sijaona lakiniπŸ˜€ vipi ndo kusema babu atampa mjukuu msesewe kama dawa eeh?πŸ™„

Hahaha! Mseseve nikiufolia kwenye ngera mjukuu wangu kwishney matatizo yake!
 
Ah jamani mnanichanganyia dose sasa maana mie namzungumzia Sisy wa jana alopewa adhabu kali na huyu wa kipigo hadi mimba ikatoka

Nahisi malaria inapanda kichwani.
Aksante mamii naona inataka nisije Nai

ikupitie mbali dear....
 
Unatafuta kufa kabla Ya siku zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…