akili ni mwanafunzi lakini maarifa ni mwalimu
akili ni mwanafunzi lakini maarifa ni mwalimu
yeah kind of...ila dent bila kujishughulisha utakuwa unachezea namba za spannerHii ni sawa na kutafuta umuhimu wa Kuku na Yai kipi bora!
Utakesha w/out resolution!
Kwanini Abnormal wanapelekwa shule?
Je? Ni kweli mwanafunzi bora anatokana na mwalimu au akili yake!
aah wapi....walimu waliotusomesha sie walikuaga zero ni wanafunzi ndio zilikua zinacharge...mwalimu anakupa tu mwelekezo ila wewe mwenyewe kama ni zero utakua zero hata ka mwalimu awe chinga vipi
Mwanafunzi bora anatokana na Mwalimu.
Kwani anaweza akawa na akili yake lakini akashindwa aitumie vipi pasipo kupata mwongozo juu ya utumiaji wa hyo akili yake
Temea mate chini.
Namchukia sana na simpendi mtu anaeponda walimu maisha.
Eti kwa vile wewe umefanikiwa maishani.
matokeo vipi?
Yapi hayo?
Tulifanya uchaguzi humu au umesahau?
Uchaguzi wa wachumba,wake.waume,au mamiss?
Funguka.
Mwanafunzi bora anatokana na Mwalimu.
Kwani anaweza akawa na akili yake lakini akashindwa aitumie vipi pasipo kupata mwongozo juu ya utumiaji wa hyo akili yake
mamiss rafiki!