Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,823
- 27,615
swali binafsi,
hakuna uwezekano wa computer kuchezewa hasa wakati wa upokeaji matokeo kutoka sehemu mbalimbali,
ukawa unayapokea na kujumlisha +750.
Nina mashaka nalo!
Kura zinapigwa Manual, zinahesabiwa, Manual, matokeo yanabandikwa kituoni kwako....mfumo ulikuwa wa kuandikisaha daftari tu
haina haja ya kuumiza kichwa... UKAWA wanalijua hilo tayarii...na wameshajipanga..nyie pigeni tu kuraaa achen visingizio
hahahahah usiwaze mbali hivo..wee amini kwenye ushindi mwaka wenu huusio visingizio,na mkuu usiamini kila kitu ukawa watang'amua pengne kwa wakat,mfano jana kuna mtu alihoji kitu muhim sijajua km pia kiko sorted out so far,lubuva alisema kuutakua na jumla a vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapga kura 450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini huoni dakili za goli la mkono hapo???
Sio visingizio,na mkuu usiamini kila kitu ukawa watang'amua pengne kwa wakat,mfano jana kuna mtu alihoji kitu muhim sijajua km pia kiko sorted out so far,Lubuva alisema kuutakua na jumla a vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapga kura 450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini huoni dakili za goli la mkono hapo???
haina haja ya kuumiza kichwa... UKAWA wanalijua hilo tayarii...na wameshajipanga..nyie pigeni tu kuraaa achen visingizio
Sio visingizio,na mkuu usiamini kila kitu ukawa watang'amua pengne kwa wakat,mfano jana kuna mtu alihoji kitu muhim sijajua km pia kiko sorted out so far,Lubuva alisema kuutakua na jumla a vituo 72000 (sabin na mbili elfu) na kila kituo kina wapga kura 450,ukizidisha jumla ni wapiga kura milion 32 na laki nne wakat kwa mujibu wa tume imeandikisha watu mil. 24+ kwa haraka haraka kuna vituo hewa zaid ya elfu ishirini huoni dakili za goli la mkono hapo???
Nadhan hauko updated na taarifa za tume kuwa majumuisho yatafikishwa tume kwa njia ya mtandao,as an IT expert nasema kuna uwezekano(tena mkubwa) wa kutemper na hyo software na ikaleta matokeo tofaut,ni muhim kufanya system/software auditing kabla otherwise the so called goli ka mkono linawezekana na ni rahis zaid kuiba kwa mfumo huu kuliko manual system za awali.
Huyo administrator anajua vizuri kitakachompata endapo atajaribu kumanipulate results. Kwa hiyo No, kama ni mtu mwenye akili hatothubutu kufanya huo ujinga. The thing about lies is the truth always come out.
Nadhan hauko updated na taarifa za tume kuwa majumuisho yatafikishwa tume kwa njia ya mtandao,as an IT expert nasema kuna uwezekano(tena mkubwa) wa kutemper na hyo software na ikaleta matokeo tofaut,ni muhim kufanya system/software auditing kabla otherwise the so called goli ka mkono linawezekana na ni rahis zaid kuiba kwa mfumo huu kuliko manual system za awali.
Mkuu, natofautiana na wewe kidogo hapo kwenye kekundu japo sihofii hilo. Ninachojua mimi ni kuwa halitakuwa ni suala la utashi wa Administrator binafsi. Kama kutakuwa na haja ya kuchakachua matokeo, lazima agizo hilo litokee mahali pa juu sana, liamriwe na wazito na kisha lisimamiwe na watendaji wazito pia. Baada ya hapo ndio Tume itangaze. Kamwe, haliwezi kuwa jambo la mtu mmoja na kamwe haliwezi kutokea kwa utashi wa mtu mmoja. Hapo lazima kuwe na kitu watu wa sheria wanakiita JOINT CRIMINAL ENTERPRISE ama JCE.
Nilitaka nikusaidie kukuelewesha hii mifumo ya teknolojia ya computer za NEC na hofu ya wizi unavyokuja lakini nakuacha hivyohivyo maana unaonekana in mbishi wa asili weweUKAWA kuna tatizo la wasomi wasiojua walichosoma.
Hebu fikiria kura zimepigwa kinondoni.Ambako kuna vituo vya kupigia kura 6 kwa mfano.Kila kituo kina mawakala wa vyama vyote.Kila wakala anajua kuwa kila kituo kina kura kadhaa.Wanakubaliana wanasaini wanapeleka nakala zao kwenye vyama vyao kwa viongozi wao walioko kule kwenye kituo cha kujumlishia.Kura zile zinapelekwa kwa email au chochote.Huko njiani kwenye email zinabadilika kama zilikuwa 100 kituo fulani zinabadilika zinakuwa 1000!!
HIYO COMPUTA ULIYOSOMA WEWE UNAIJUA MWENYEWE.E-mail yako ulishaifanyia system auditing kujua kuwa ukimpelekea mtu meseji itabadilika? Au tigo pesa,mPESA system ulishaifanyia system auditing kuwa isije badilisha pesa njiani?
Najua CHADEMA wanachotaka ni kujua mfumo ukoje wauvuruge kuharibu uchaguzi kama kenya walivyouingilia kuuvuruga
Kura hata mwehu aweza hakiki.Kuwa kituo kile kilipiga kadhaa kinondoni yote jumla kura ni kadhaa ziwepo komputa au zisiwepo.Usomi usiutumie kutunga uongo kudanganya wasiosoma sio lengo la elimu hilo.
Iko possible sana kuchange data... itategemea na ethical ya administrator... na hata mkikagua leo kesho naweza cheza na database bila hata kuja kazini.. kwa skills nizijuazo.. cha kuomba hapo ni kuhakiki kwa karatasi na system pia..