Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,036
- Thread starter
- #21
Hahahhaah kwel hlo n zaliHahaha! Kweli mazali yanatofautiana. Mimi nilivyotuma msg akaniandikia najua tu ni wewe.

Kizuri kula na nduguyo...Wadada mkuje huku mjibu mashtaka
Natumai wazima kabisaaa,,
Kumekuwa na tabia hii kwa wanawake wengi sana, inapotokea umepata namba labda ya classmate wako wa kike, rafiki unaemjua, au demu unataka kupiga sound,,,
Yaani ukishaanza mtumia meseji mambo hatojibu salamu bali atakubandika swaali '' Namba yangu amekupa nani??!??
Hili swali kiukwel linapunguza hamasa yote ya kumtafuta na linakera,, ww nani namba yko isitolewe!! At least uulize nani ww shida yako nn.. Kulikoo kutaka kumjua alonipa namba ili ufanyeje sasa!!!!
Wangapi wamekutana hiki katabia na wanakichukuliaje????
Uzi tayari
Mtu kama huyu unakuta analala na kula kwa Mjomba, lakini hapa anaongelea kutuma 300K tu kiholela holela. Ujana changamoto sana.Nikipewa namba ya binti, naanza na kutuma salio kama 300k ili kuepuka maswali kama hayo. Ukishusha mzigo wa kutosha mabinti wengi wanakosa hata nguvu ya kuuliza maswali
Tumia pesa ikuzoee kijana.Mtu kama huyu unakuta analala na kula kwa Mjomba, lakini hapa anaongelea kutuma 300K tu kiholela holela. Ujana changamoto sana.
Natumai wazima kabisaaa,,
Kumekuwa na tabia hii kwa wanawake wengi sana, inapotokea umepata namba labda ya classmate wako wa kike, rafiki unaemjua, au demu unataka kupiga sound,,,
Yaani ukishaanza mtumia meseji mambo hatojibu salamu bali atakubandika swaali '' Namba yangu amekupa nani??!??
Hili swali kiukwel linapunguza hamasa yote ya kumtafuta na linakera,, ww nani namba yko isitolewe!! At least uulize nani ww shida yako nn.. Kulikoo kutaka kumjua alonipa namba ili ufanyeje sasa!!!!
Wangapi wamekutana hiki katabia na wanakichukuliaje????
Uzi tayari
Hua wanataka kujihami asije akawa kakupa mchepuko wake ,umtestNatumai wazima kabisaaa,,
Kumekuwa na tabia hii kwa wanawake wengi sana, inapotokea umepata namba labda ya classmate wako wa kike, rafiki unaemjua, au demu unataka kupiga sound,,,
Yaani ukishaanza mtumia meseji mambo hatojibu salamu bali atakubandika swaali '' Namba yangu amekupa nani??!??
Hili swali kiukwel linapunguza hamasa yote ya kumtafuta na linakera,, ww nani namba yko isitolewe!! At least uulize nani ww shida yako nn.. Kulikoo kutaka kumjua alonipa namba ili ufanyeje sasa!!!!
Wangapi wamekutana hiki katabia na wanakichukuliaje????
Uzi tayari
[emoji16][emoji16][emoji16]Mdada: "Umetoa wapi namba yangu.?"
Mimi: Vodacom wamenipa zawadi.!
Hadi huku kwetu mkuu ni hvyooMimi nilifikiri ni wazungu tu ndio wanayo hayo maswali hadi ngozi nyeusi
Wapo weng sn...Huyo atakua changudoa. Mwanamke mwenye akili timamu hawezi kuulizwa mambo akajib namba yangu kakupa nani.
Bro wewe mtu akikutumia msg na humjui hutataka kujiridhisha mkuu, na wala hutapenda kumjua anaegawa namba yako kiboya boya bila ruhusa yako?