Swali wanalolipenda wanawake ikiwa namba ngeni

Swali wanalolipenda wanawake ikiwa namba ngeni

Gai da seboga

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
532
Reaction score
1,036
Natumai wazima kabisaaa.

Kumekuwa na tabia hii kwa wanawake wengi sana, inapotokea umepata namba labda ya classmate wako wa kike, rafiki unaemjua, au demu unataka kupiga sound,,,

Yaani ukishaanza mtumia meseji mambo hatojibu salamu bali atakubandika swaali '' Namba yangu amekupa nani??!??

Hili swali kiukwel linapunguza hamasa yote ya kumtafuta na linakera,, ww nani namba yko isitolewe!! At least uulize nani ww shida yako nn.. Kulikoo kutaka kumjua alonipa namba ili ufanyeje sasa!!!!

Wangapi wamekutana hiki katabia na wanakichukuliaje????

Uzi tayari
 
Bro wewe mtu akikutumia msg na humjui hutataka kujiridhisha mkuu, na wala hutapenda kumjua anaegawa namba yako kiboya boya bila ruhusa yako?
Kujiridhisha n kumuuliza mtu ww nan! Nimjue kisha ndio tuendelee na mazungumzoo.... Kujua nan ametoa namba halina mantiki yoyote, mana huyo alotoa namba mpk akawa nayo means tunawasiliana.
 
Kwahiyo hilo hilo jibu unakatika stimu, na je akikwambia wewe ni kapuku umkome si ndipo utakitafuta kitanzi kilipo
 
Natumai wazima kabisaaa,,

Kumekuwa na tabia hii kwa wanawake wengi sana, inapotokea umepata namba labda ya classmate wako wa kike, rafiki unaemjua, au demu unataka kupiga sound,,,

Yaani ukishaanza mtumia meseji mambo hatojibu salamu bali atakubandika swaali '' Namba yangu amekupa nani??!??

Hili swali kiukwel linapunguza hamasa yote ya kumtafuta na linakera,, ww nani namba yko isitolewe!! At least uulize nani ww shida yako nn.. Kulikoo kutaka kumjua alonipa namba ili ufanyeje sasa!!!!

Wangapi wamekutana hiki katabia na wanakichukuliaje????

Uzi tayari
Kimsingi wanakosea sana..kama namba yake anaona haipaswi kutumiwa na watu wengine basi asiwe na simu...mbona hata sisi wakiume tunapata sana hizo namba ngeni...ila cha msingi ni kujua ww nani na shida yako nini..full stop
 
Nikipewa namba ya binti, naanza na kutuma salio kama 300k ili kuepuka maswali kama hayo. Ukishusha mzigo wa kutosha mabinti wengi wanakosa hata nguvu ya kuuliza maswali
 
Nikipewa namba ya binti, naanza na kutuma salio kama 300k ili kuepuka maswali kama hayo. Ukishusha mzigo wa kutosha mabinti wengi wanakosa hata nguvu ya kuuliza maswali
Kwahyo mkuu nianze na kupiga muamala kwanzaa...
 
Kimsingi wanakosea sana..kama namba yake anaona haipaswi kutumiwa na watu wengine basi asiwe na simu..mbona hata sisi wakiume tunapata sana hizo namba ngeni...ila cha msingi ni kujua ww nani na shida yako nini..full stop
Ni kweel kabisaa mkuu
 
Hahaha! Kweli mazali yanatofautiana. Mimi nilivyotuma msg akaniandikia najua tu ni wewe.
 
Back
Top Bottom