Mchumi90
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,089
- 1,297
Serikali inatakiwa kuwaruhusu hawa vjana kurudi na kuapply mikopo kama wengine, deadline ni tarehe 31 July na watakuwa hawajarudi bado. Sidhani kama ni sahihi kwa mtu kumsaidia mwingine kuomba mkopo maana still kuna sehemu za wao kuweka signature.