Swali: Wafanyakazi wakimchagua kikwete tuwaeleweje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Wafanyakazi wakimchagua kikwete tuwaeleweje?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by dfreym, Oct 19, 2010.

 1. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hebu tuwe walufikiria jamani. kwani naona hawa jamaa wanakoelekea ni kwenye MLANDIZI na siyo MTUPA MAGANDA, vichwa panzi na wema wa kinafiki.
  juzi juzi wametoka kutukanwa " MTU MZIMA HAFUNDISHWI KUCHAMBA" kwenye mkutano wa kikwete na ...................... siku chache kabla ya mgomo wa wafanyakazi (eti wazee wa dar es salaam).
  bado akawaambia eti mkiandamana tu "HATA RISASI ZA MOTO ZITATUMIKA".
  hivi nyie mnauelewa kweli? hivi huyu jamaa anahuruma na watoto wenu na vizazi vyenu? anatishia kuwaua!!!!!!!!! halafu miezi michache kabla ya uchaguzi ANAWAPA PIPI. unakuta tu salio limeongezeka. ndiyo! si walisema hawana hela? hata miaka nane ipite hawana mishahara waliyokuwa wanadai wafanyakazi. hiyo pipi wameitoa wapi?
  Bado mijitu mingine inajifanya kusahau," ETI JAMANI KAOMBA MSAMAHA SO TUMSAMEHE TUMCHAGUE, ATUONGEZEE SPIDI ZAIDI, KASI ZAIDI, NA ARI ZAIDI, ST**P**. Mnakuwa kama watoto wadogo "UNAMCHAPA HALAFU UTAMDANGANYA " NYAMAZA MWANANGU, NANI KAKUCHAPA? HAYA TEMA MATE TUMCHAPE" ,NTAKULETEA PIPII ETI TOTO" na wewe unanyamaza .
  au utakuta watu wengine wamesahau machungu leo waliyoyapata na hao hao ndo siku walipotukanwa walikuwa wanakemea na kufoka mpaka povu linawatoka midomoni.

  HONGERA WAFANYAKAZI WENYE MSIMAMO..

  MLIOBADILIKA RUDINI KUNDINI.
  msiwe kama mlandizi aliye sahau alikula lini na wapi.
  na muwe kama mtupa maganda asiyesahau aliyotendewa.
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280

  Simaaninshi kukukosa mpwa wangu ila naomba kidogo upunguze kaukali ka maneno naona kama kamekolea sana hivyo viungo ila meseji imefika. Ni hapo kwenye red na mstari na bold hapo ndo naona kam vile pana kaukakasi Blessed
   
 3. b

  bojuka Senior Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani kakwambia tunampa kura dawa ya moto ni moto atapata akili baada ya oct 31
  peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeoooooooooooooooooooooople's power.
   
 4. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Msaada jamani, Hivi ni Ari na kasi za kufanya nini? Mabango hayaelezi
   
 5. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  labla ya kuropoka na ufisadi.
   
Loading...