Elections 2010 Eti kikwete kaomba msamaha

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Hebu tuwe wakufikiria jamani. kwani naona hawa jamaa wanakoelekea ni kwenye MLANDIZI na siyo MTUPA MAGANDA, vichwa panzi na wema wa kinafiki.
juzi juzi wametoka kutukanwa " MTU MZIMA HAFUNDISHWI KUCHAMBA" kwenye mkutano wa kikwete na ...................... siku chache kabla ya mgomo wa wafanyakazi (eti wazee wa dar es salaam).
bado akawaambia eti mkiandamana tu "HATA RISASI ZA MOTO ZITATUMIKA".
hivi nyie mnauelewa kweli? hivi huyu jamaa anahuruma na watoto wenu na vizazi vyenu? anatishia kuwaua!!!!!!!!! halafu miezi michache kabla ya uchaguzi ANAWAPA PIPI. unakuta tu salio limeongezeka. ndiyo! si walisema hawana hela? hata miaka nane ipite hawana mishahara waliyokuwa wanadai wafanyakazi. hiyo pipi wameitoa wapi?
Bado mijitu mingine inajifanya kusahau," ETI JAMANI KAOMBA MSAMAHA SO TUMSAMEHE TUMCHAGUE, ATUONGEZEE SPIDI ZAIDI, KASI ZAIDI, NA ARI ZAIDI, ST**P**. Mnakuwa kama watoto wadogo "UNAMCHAPA HALAFU UTAMDANGANYA " NYAMAZA MWANANGU, NANI KAKUCHAPA? HAYA TEMA MATE TUMCHAPE" ,NTAKULETEA PIPII ETI TOTO" na wewe unanyamaza .
au utakuta watu wengine wamesahau machungu leo waliyoyapata na hao hao ndo siku walipotukanwa walikuwa wanakemea na kufoka mpaka povu linawatoka midomoni.

HONGERA WAFANYAKAZI WENYE MSIMAMO..

MLIOBADILIKA RUDINI KUNDINI.
msiwe kama mlandizi aliye sahau alikula lini na wapi.
na muwe kama mtupa maganda asiyesahau aliyotendewa.
 
Sasa na wewe badala ya kuandika habari unaandika machungu yako na malalamiko. Wapi kaomba msamaha? Lini?
 
Duh,ni kawaida ya mwanadamu!na wakenya hua wanasema ukitaka "uwe rafiki" wa mtanzania we mdanganye sana,kwa kua uongo ni mwingi ata uamini na kuufanya kuwa ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom