Nadhani VAT(Value Addition Tax) yaani kodi ya ongezeko la thamani. Sasa nikinunua bidhaa kwa shilingi 1000 katika duka la jumla, nikauza shilingi 2000 duka reja reja, naona ongezeko ni 1000 zaidi. VAT ni 18%, basi TRA watakata kodi shilingi ngapi?
Umenunua kwa sh 1000 hivyo umelipa VAT sh 1000-1000/1.18=152.55 na wewe ukauza sh 2000 hivyo umekusanya VAT sh 2000-2000/1.18=305.08 hivyo hela unayopaswa kurejesha serikalini ni 305.08-152.55=152.53 ngoja waje wajuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.