Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Naona juhudi zako kila Mikoa ukienda tunasikia unapokea Wapinzani, tena kibaya zaidi huwa unaanza kutamba, Oooooo kesho napokea Wapinzani.
Polepole ingekuwaje ushawishi huu ungeutumia katika ujenzi wa Hospital na Vituo vya Afya? Ingekuwaje ungeutumia ushawishi huu kuelimisha vijana kuhusu KILIMO cha umwagiriaji na Biashara ndogondogo?
Polepole Unatakiwa ujue Uchumi kwa wananchi ni mbaya Sana, Kwahiyo kushawishi ama manunuzi unayoyafanya hayabadirishi Hali ya ugumu wa maisha, na Hiyo mbinu kaka imeshajulikana, na mbaya zaidi unanunua viongozi kitu ambacho kinasababisha hasara kubwa Nchi, Hebu piga hesabu Bilioni zinazotumika Sasa, zingeenda kwenye Afya ingesaidia kiasi gani kwenye sekta Hiyo?
Polepole nakuomba tumia mbinu Hiyo Hiyo kushawishi wanachama si Viongozi, Nunua wanachama utakavyo lakini Viongozi unatia hasara taifa.
Siasa za kitoto Sana,
Unaaminisha wananchi kwamba CCM inakubalika Bila uhalisia wa Maisha ya watu ni kazi bure, pamabaneni na Hali ngumu ya maisha ya watu na sii kuaminisha kukubalika kwa CCM kwa kushawishi Viongozi wa Upinzani kuhamia CCM, ni kujidanganya, Watu Wanajuana CCM imeshindwa kujenga Hospital
Shule
Barabara
Biashara za watu zimekufa
Kila kitu kimefeli, Sasa kununua Wapinzani ili watanzania waamini CCM inafanya vizuri ni upuuzi,
Kwahiyo kipimo cha CCM kwa Sasa cha maendeleo ni Wapinzani kuhamia CCM,
Mpinzani akihamia CCM uchumi unapanga
Mpinzani akihamia CCM hospital zinajengwa,
Mpinzani akihamia CCM Viwanda vinajengwa,
Sasa CCM kwao Mpinzani ni kitegauchumi kwa Sasa.
Asante