Swali tu, hivi hizi Bilioni zinazotumika marudio ya uchaguzi Polepole unajisikiaje,?

Mahweso

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
1,098
1,501
Naona juhudi zako kila Mikoa ukienda tunasikia unapokea Wapinzani, tena kibaya zaidi huwa unaanza kutamba, Oooooo kesho napokea Wapinzani.

Polepole ingekuwaje ushawishi huu ungeutumia katika ujenzi wa Hospital na Vituo vya Afya? Ingekuwaje ungeutumia ushawishi huu kuelimisha vijana kuhusu KILIMO cha umwagiriaji na Biashara ndogondogo?

Polepole Unatakiwa ujue Uchumi kwa wananchi ni mbaya Sana, Kwahiyo kushawishi ama manunuzi unayoyafanya hayabadirishi Hali ya ugumu wa maisha, na Hiyo mbinu kaka imeshajulikana, na mbaya zaidi unanunua viongozi kitu ambacho kinasababisha hasara kubwa Nchi, Hebu piga hesabu Bilioni zinazotumika Sasa, zingeenda kwenye Afya ingesaidia kiasi gani kwenye sekta Hiyo?

Polepole nakuomba tumia mbinu Hiyo Hiyo kushawishi wanachama si Viongozi, Nunua wanachama utakavyo lakini Viongozi unatia hasara taifa.

Siasa za kitoto Sana,

Unaaminisha wananchi kwamba CCM inakubalika Bila uhalisia wa Maisha ya watu ni kazi bure, pamabaneni na Hali ngumu ya maisha ya watu na sii kuaminisha kukubalika kwa CCM kwa kushawishi Viongozi wa Upinzani kuhamia CCM, ni kujidanganya, Watu Wanajuana CCM imeshindwa kujenga Hospital
Shule
Barabara
Biashara za watu zimekufa
Kila kitu kimefeli, Sasa kununua Wapinzani ili watanzania waamini CCM inafanya vizuri ni upuuzi,

Kwahiyo kipimo cha CCM kwa Sasa cha maendeleo ni Wapinzani kuhamia CCM,

Mpinzani akihamia CCM uchumi unapanga

Mpinzani akihamia CCM hospital zinajengwa,

Mpinzani akihamia CCM Viwanda vinajengwa,

Sasa CCM kwao Mpinzani ni kitegauchumi kwa Sasa.

Asante
 
Polepole ni.zuzu la kisiasa walio mteua hawana tofauti naye
 
Ndo viwanda hivyo mzee..... Jamaa walifikiri kujenga kiwanda nikama kufungua genge.... Yote aliyokuwa anasema atafanya hatimae ameona hayafanyiki hivyo ameamua kununua watu wamsapoti kuwa anafaa kumbe hamna kitu...... Kweli PHD za kununua hazimwachagi mtu salama
 
Polepole ni.zuzu la kisiasa walio mteua hawana tofauti naye

Huyo mtoto kabla sijamjua vizuri nilidhani ni kifaa, kumbe ni mpuuzi wa kutupwa. Wananchi wote tunaona kabisa hali ya uchumi ya sasa sio nzuri na kuna mambo mengi hayaendi vizuri, lakini ajabu eti kuna viongoze tena wa cdm tu ndiio wanahamia ccm. Mbona hatuoni viongozi wa vyama kama TLP, UDP nk wakihamia ccm kama hakuna mchezo mchafu? Nashuru kwamba kuna hii mitandao ya kijamii, kiasi kwamba hata hivyo vyama vya upinzani wakifanikiwa kuviua bado tutawapa ukweli wao hapa jukwaani bila msaada wa hivyo vyama.
 
Wataua vyama vya upinzani hawawezi kuua upinzani.
 
Naona wimbo wa viwanda unakufa a natural death!
Nina wasiwasi na uraia wa Polepole. Hana huruma na hela za Watanzania. Nadhani huko kuwarubuni Viongozi wa upinzani nae kuna % anapata sio bure. Yaani kila mwezi uchaguzi mdogo jamani?? Nafikiri tuna mambo ya vipao mbele zaidi ya uchaguzi wa marudio.
 
Wakati mnapokea nyalandu mulijua jimbo limefutwa? Mbona mnakuwa wapuuzi hivi?
 
Hasara ni kubwa sio tu gharama ya uchaguzi hhata hizo hela za kuwanunua si ni kodi zetu? Bnasikia wanawalipa vizuri mishahara yote ya muda uliobaki hadi 2020 na pia kiinua mgongo hii ni hatari sana watawala hawana busara.
 
CCM wako tayari kukomba hazina yooooote ili kuibomoa Chadema na kibaya zaidi kuna mataahira wanaoashindia mlo mmoja kwa siku wanafurahia upumbavu huu.
 
Naona juhudi zako kila Mikoa ukienda tunasikia unapokea Wapinzani, tena kibaya zaidi huwa unaanza kutamba, Oooooo kesho napokea Wapinzani.

Polepole ingekuwaje ushawishi huu ungeutumia katika ujenzi wa Hospital na Vituo vya Afya? Ingekuwaje ungeutumia ushawishi huu kuelimisha vijana kuhusu KILIMO cha umwagiriaji na Biashara ndogondogo?

Polepole Unatakiwa ujue Uchumi kwa wananchi ni mbaya Sana, Kwahiyo kushawishi ama manunuzi unayoyafanya hayabadirishi Hali ya ugumu wa maisha, na Hiyo mbinu kaka imeshajulikana, na mbaya zaidi unanunua viongozi kitu ambacho kinasababisha hasara kubwa Nchi, Hebu piga hesabu Bilioni zinazotumika Sasa, zingeenda kwenye Afya ingesaidia kiasi gani kwenye sekta Hiyo?

Polepole nakuomba tumia mbinu Hiyo Hiyo kushawishi wanachama si Viongozi, Nunua wanachama utakavyo lakini Viongozi unatia hasara taifa.

Siasa za kitoto Sana,

Unaaminisha wananchi kwamba CCM inakubalika Bila uhalisia wa Maisha ya watu ni kazi bure, pamabaneni na Hali ngumu ya maisha ya watu na sii kuaminisha kukubalika kwa CCM kwa kushawishi Viongozi wa Upinzani kuhamia CCM, ni kujidanganya, Watu Wanajuana CCM imeshindwa kujenga Hospital
Shule
Barabara
Biashara za watu zimekufa
Kila kitu kimefeli, Sasa kununua Wapinzani ili watanzania waamini CCM inafanya vizuri ni upuuzi,

Kwahiyo kipimo cha CCM kwa Sasa cha maendeleo ni Wapinzani kuhamia CCM,

Mpinzani akihamia CCM uchumi unapanga

Mpinzani akihamia CCM hospital zinajengwa,

Mpinzani akihamia CCM Viwanda vinajengwa,

Sasa CCM kwao Mpinzani ni kitegauchumi kwa Sasa.

Asante

Nimewakuta watu kijiweni wakiwa wamevaa kofia tishet za rangi nisiyoweza kuandika, wanasema kiongozi wetu ameamua kingiza fedha kwenye mzunguko kupitia chaguzi za marudio
 
Back
Top Bottom